Kwanini mtu akiamka asubuhi mdomo huwa na harufu mbaya?

Ulimi huwa unachafuka? Je ulimi unahifadhi vipi mabaki ya chakula Kwa chini au Kwa juu naomba elimu ya mabaki haya ya chakula kwenye ulimi tafadhali [emoji104][emoji104][emoji104]
 
Ulimi huwa unachafuka? Je ulimi unahifadhi vipi mabaki ya chakula Kwa chini au Kwa juu naomba elimu ya mabaki haya ya chakula kwenye ulimi tafadhali [emoji104][emoji104][emoji104]
Mimi sio medical expert, ila nadhani wahusika watalitolea ufafanuzi zaidi. Kwa uelewa wangu mdogo ulimi kwa juu upo kama taulo flani hivi (kama utumbo wa taulo) ambapo ni rahisi kuhifadhi mabaki ya chakula na pia ni ngumu kuutoa (rejea utumbo wa taulo unavyokuwa ishu kutoa uchafu). Nadhani wataalam wataeleza kitaalam zaidi.
 
Kwa kweli umeniua mbavu zangu maana nimefikiria utumbo wa taulo yaani tofauti kabisa. Unafanya mchezo na utumbo wa taulo ungethubutu kula denda weye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…