Kwanini mtu akiamka asubuhi mdomo huwa na harufu mbaya?

Hujapiga mswaki kabla ya kulala. Mimi napiga mswaki two times a day na wala sijawahi kunuka mdomo asubuhi. Lakini nisipopiga mswaki nitanuka. Hivyo Tumia dawa iliyothibitishwa na pia piga mswaki si chini ya dakika 5 kwa kuhakikisha maeneo muhimu umesafisha kwa usahihi, hasa ulimi. Watu wanasugua meno tu na kuacha ulimi ambao ndio source ya kunuka mdomo. Nenda kasafishe kinywa kwa madaktari wa meno atleast mara 2 kwa mwaka. Nadhani gharama zake haizidi 50,000

Ulimi huwa unachafuka? Je ulimi unahifadhi vipi mabaki ya chakula Kwa chini au Kwa juu naomba elimu ya mabaki haya ya chakula kwenye ulimi tafadhali [emoji104][emoji104][emoji104]
 
Mimi sio medical expert, ila nadhani wahusika watalitolea ufafanuzi zaidi. Kwa uelewa wangu mdogo ulimi kwa juu upo kama taulo flani hivi (kama utumbo wa taulo) ambapo ni rahisi kuhifadhi mabaki ya chakula na pia ni ngumu kuutoa (rejea utumbo wa taulo unavyokuwa ishu kutoa uchafu). Nadhani wataalam wataeleza kitaalam zaidi.
 
Kwa kweli umeniua mbavu zangu maana nimefikiria utumbo wa taulo yaani tofauti kabisa. Unafanya mchezo na utumbo wa taulo ungethubutu kula denda weye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom