Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Mtu umepata connection kisha umetoboa. Baada ya kufanikiwa kila mtu unamuona mvivu na mzembe. Kwa nini usielezee kwa kina jinsi ulivyofanikiwa, njia ulizopitia, ulipotoa mtaji, nani alikuelekeza na connection zote ulizotumia ili kufanikiwa.