Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Ni nature ya kibinadamu..Mtu umepata connection kisha umetoboa. Baada ya kufanikiwa kila mtu unamuona mvivu na mzembe. Kwa nini usielezee kwa kina jinsi ulivyofanikiwa, njia ulizopitia, ulipotoa mtaji, nani alikuelekeza na connection zote ulizotumia ili kufanikiwa.
Maake kwanza ncheke.Ulicho kiandika ni kweli kabisa ila binafsi watu wa namna hiyo nawaona ni wajinga tu wa maisha
Sio wajiga tu huwa ni washamba,chunguza...Ulicho kiandika ni kweli kabisa ila binafsi watu wa namna hiyo nawaona ni wajinga tu wa maisha
Kuna mtu mmoja namfhamu (RIP) aliwahi kuwa tajiri mkubwa sana Tanzania, lakini kamwe hakuwahi kuwa na tabia hiiMtu umepata connection kisha umetoboa. Baada ya kufanikiwa kila mtu unamuona mvivu na mzembe. Kwa nini usielezee kwa kina jinsi ulivyofanikiwa, njia ulizopitia, ulipotoa mtaji, nani alikuelekeza na connection zote ulizotumia ili kufanikiwa.
Very true they see others kama looser but fact ni kwamba Aya maisha at some point ni kama bahati you don't need to work hard to succeed. Fatume Karume once interviewed by Salama Jabir kwamba yeye amepata opportunity kuzaliwa kwenye family ya Rais ila majibu yake yalikuwa yanabeza watu ambao hawajafanikiwa her answers was yupo hapo alipo Kwa sababu ni smart and she works hard.Mtu umepata connection kisha umetoboa. Baada ya kufanikiwa kila mtu unamuona mvivu na mzembe. Kwa nini usielezee kwa kina jinsi ulivyofanikiwa, njia ulizopitia, ulipotoa mtaji, nani alikuelekeza na connection zote ulizotumia ili kufanikiwa.