Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Watu wa aina hiyo nakutana nao kipindi hiki sijui ni kwanini.Ukweli mtupu huu🤣
Kuna kitu umenikumbusha
Sadist ni namna ya yeye ku cope na failure yake, in his head ili asiumie lazima washushe katika level yake, and that how wanaponda kila kituHali hii mara nyingi naiona hasa kwa watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea, unakuta kapambana sana hapo nyuma Kuna fursa alizipata akazichezea matokeo yake anakuwa na hali flani mbovu ya kiuchumi . Sasa kinachokuja kutokea hapa kila atakaekuwa anakutana nae na anapitia maumivu flani basi utamuona sura yake inakuwa na bashasha au tabasamu pana...sidhani kama hiyo hali inawasaidia .
Ni wengi mno,.Watu wa aina hiyo nakutana nao kipindi hiki sijui ni kwanini.
Sio jambo zuri .. wewe unahisi kuwa sadist ndio kutakupa unafuu? Au ni kujifarijiWe unafikiri kufeli ni jambo zuri ama
Mtu hauwi na huzuni kwa kutaka mkuu, inatokea automatically kwa ile hali ya kufikiria ungekuwa na maisha tofauti na uliyokuwa nayoSio jambo zuri .. wewe unahisi kuwa sadist ndio kutakupa unafuu? Au ni kujifariji
Unajua maana ya neno sadist?Kwa hiyo ulitaka afeli kimaisha halafu uwe "happist"?? Haya maswali mengine ya kitoto sana
There is no any definition ot word 'life'MAISHA ni nini? Mtu akitumia Pesa na Rasilimali zake wanasema anachezea maisha. Na wengine humwambia 'huyajui maisha'. Na akianguka anaambiwa ALICHEZEA MAISHA.
MAISHA NI NINI??
Maisha ni hadithi yenye Pande mbili furaha na huzuni na hadithi hiyo hukamilika pale unapoondoka duniani wewe kama wewe na lazima utapitia Pande zote hivo mambo yakikunyokea usishangae na yakienda kombo usishangae fahamu ndio hadithi yako hiyo ambayo itaisha ukifa na kubaki wakisimulia wanaobaki kulingana na alama za masimulizi yakoMAISHA ni nini? Mtu akitumia Pesa na Rasilimali zake wanasema anachezea maisha. Na wengine humwambia 'huyajui maisha'. Na akianguka anaambiwa ALICHEZEA MAISHA.
MAISHA NI NINI??
Mbona hata shule ya msingi tulikuwa tunaoneana wivu. Hiyo ni hulika ya binadamu wote regardless of ageHali hii mara nyingi naiona hasa kwa watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea, unakuta kapambana sana hapo nyuma Kuna fursa alizipata akazichezea matokeo yake anakuwa na hali flani mbovu ya kiuchumi . Sasa kinachokuja kutokea hapa kila atakaekuwa anakutana nae na anapitia maumivu flani basi utamuona sura yake inakuwa na bashasha au tabasamu pana...sidhani kama hiyo hali inawasaidia .
Maisha ya mwanadamu ni hadithi Tu ...rip alhasan mwinyiMaisha ni hadithi yenye Pande mbili furaha na huzuni na hadithi hiyo hukamilika pale unapoondoka duniani wewe kama wewe na lazima utapitia Pande zote hivo mambo yakikunyokea usishangae na yakienda kombo usishangae fahamu ndio hadithi yako hiyo ambayo itaisha ukifa na kubaki wakisimulia wanaobaki kulingana na alama za masimulizi yako