Kwanini mtu akinywa pombe anatapika....???

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
wakuu habari za humu nilikuw napenda kufaham kikubwa kuusu hili swala kwann mtu akinywa pombe anatapika...???

Binafsi natumia hvy vinywaji yan pombe ila cha kushangaza nikinywa pale pombe inapoanza kupanda kwny kichwa tuu basi lazima nitapike haijalishi nimezidiw au nipo kawaida lkn lazima nitapike labda ninywe bia mbili au tatu lkn nikinywa kwnye 6 na kuendelea basi lazima nitapike

Na pia nikitapka naweza nikaendelea na kinywaji na fresh kabsa yan nisitapke ten .....hvy nilikuwa napenda kufaham ni kwnn

mtu anatapika na vip kwa hili tatizo langu hiv inawez ikawa nn hasa mpka inatokea hiv...????
NAWASILISHA
 
Niliwahi ambiwa ur kidney inakuwa imezidiwa kuchuja sumu ndo maana mtu anatapika
 
Ndio raha ya Pombe ukinywa sana mwishowe ni kutapika.
 

Utakuwa unapungukiwa na nutrients fulani mhimu sana mwilini. Pia utakuwa upo out of balance kwa baadhi ya neurotransimitters mhimu sana mwilini.

Ukitaka nitafute kwenye whatsapp kuna dawa ya kuacha pombe, niachie ujumbe kwenye whatsapp +255769142586
 
Unatapika Sababu pombe ni haramu.
 
Dooh acha tu tuachie wenyewe kama unaweza kikubwa ule ushibe ndio upige maji ila hiyo yako ya kucheua bia 4ha ha ha ha Mpwa we kunywa soda maana unako elekea utachojoa nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…