acha matata
Senior Member
- Jan 5, 2011
- 165
- 39
Linaweza kuonekana swali la kipuuzi ila kwawasaikolojia na great thinkers wanatambua. Leo nikiwa hospitali, kuna mgonjwa mwenye umri wa zaidi ya mika 55 alilia kwa maumivu makali. Hata hivyo, kilio hicho hakikubadilisha ukali wa maumivu aliyokuwa anayasikia.
Huyu baba ni mtu ambaye kwaujumla anajulukana kama jasiri na mbabe sana kwenye jamii kiasi kwamba hakutegemewa kulia namna vile lakini automatically alijikuta analia na bado kilio hakikuondoa hayo maumivu.
Sasa kwanini watu huwa tunalia wakati wa maumivu and not otherwise?