Kwanini mtu akisikia maumivu analia?

Kwanini mtu akisikia maumivu analia?

acha matata

Senior Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
165
Reaction score
39
Linaweza kuonekana swali la kipuuzi ila kwawasaikolojia na great thinkers wanatambua. Leo nikiwa hospitali, kuna mgonjwa mwenye umri wa zaidi ya mika 55 alilia kwa maumivu makali. Hata hivyo, kilio hicho hakikubadilisha ukali wa maumivu aliyokuwa anayasikia.

Huyu baba ni mtu ambaye kwaujumla anajulukana kama jasiri na mbabe sana kwenye jamii kiasi kwamba hakutegemewa kulia namna vile lakini automatically alijikuta analia na bado kilio hakikuondoa hayo maumivu.

Sasa kwanini watu huwa tunalia wakati wa maumivu and not otherwise?

Kulia ,kupiga kelele,kujamba ,kujinyea ,kujikojolea ni njiaza kupunguza maumivu!
 
maswali mengine haya.unaweza ukajikuta unatukana bure.
 
Nafikiri ni reflex action pale maumivu yanapokuwa unbearable.
 
Halafu kuna kutoa machozi na kulia kwa sauti hata machozi yasipokuwepo, sijui una maanisha nini?
 
Linaweza kuonekana swali la kipuuzi ila kwawasaikolojia na great thinkers wanatambua. Leo nikiwa hospitali, kuna mgonjwa mwenye umri wa zaidi ya mika 55 alilia kwa maumivu makali. Hata hivyo, kilio hicho hakikubadilisha ukali wa maumivu aliyokuwa anayasikia.

Huyu baba ni mtu ambaye kwaujumla anajulukana kama jasiri na mbabe sana kwenye jamii kiasi kwamba hakutegemewa kulia namna vile lakini automatically alijikuta analia na bado kilio hakikuondoa hayo maumivu.

Sasa kwanini watu huwa tunalia wakati wa maumivu and not otherwise?

Nnavyofaham mimi ni kuwa mtu anapolia nadhani machozi ni lazma yatoke, ni tofauti na mtu anapopiga kelele huwa inatoka sauti tu peke yake.

Sasa mtoa mada una maana gani juu ya uzi wako inategemea na mtu ameskia maumivu gani ni maumivu machache sana/mno yanayomfanya mtu alie laa sivyo huyo jamaa alikuwa anapiga kelele tu mkuu alikuwa halii wala.
 
niliwahi kuona bibi arusi akilia kanisani baada ya mume kusema YES I DO
 
Kwahiyo kulia kunamsaidiaje mtu anayesikia maumivu?

Kiswahili sanifu tunasema "kuhisi maumivu". Kamwe huwezi kusikia maumivu mwilini mwako. Sana sana unaweza kuyasikia kwa mtu mwingine, na si kwako. Neno sahihi hapa ni "kuhisi maumivu".
 
Hisia za mwisho kabisa za binadamu zipo kwenye machozi iwe furaha au huzuni
 
Linaweza kuonekana swali la kipuuzi ila kwawasaikolojia na great thinkers wanatambua. Leo nikiwa hospitali, kuna mgonjwa mwenye umri wa zaidi ya mika 55 alilia kwa maumivu makali. Hata hivyo, kilio hicho hakikubadilisha ukali wa maumivu aliyokuwa anayasikia.

Huyu baba ni mtu ambaye kwaujumla anajulukana kama jasiri na mbabe sana kwenye jamii kiasi kwamba hakutegemewa kulia namna vile lakini automatically alijikuta analia na bado kilio hakikuondoa hayo maumivu.

Sasa kwanini watu huwa tunalia wakati wa maumivu and not otherwise?

Swali lako ni sawa tu na kuuliza hivi ni kwanini mwanaume na mwanamke wanapopiga mabao yao kukojoa na kujikojolea lazima wote tutoe sauti ambayo tukiambiwa baadae tuirudie tunashindwa? It's so obvious.
 
Mbona jibu no rahisi. Evolution has made sure that wale tu wenye uwezo mkubwa Wa kupiga kelele za kuomba msaada hivyo kuokolewa wanapokuwa kwenye shida ndio wana survive. Wale wenye vikoromeo visivyolia kwa nguvu walipotezwa kwenye uso Wa dunia. Tunalia ili kupata msaada.
 
watu hulia kwa sababu mbalimbali kama maumivu,furaha au woga.
mtu akiwa na kidonda,alikia,kinachomliza si maumivu ya kidonda tu bali ni maumivu ya mawazo kuhusu hicho kidonda.mawazo hayo hupelekea kumwagwa kwa homoni ambazo husaidia kidonda kupona mfano Leucine enkephalin(natural painkiller) husaidia kupunguza maumivu.
homoni hizi zinatakiwa kuwa katika kiwango kinachohitajika hivyo basi zinapozidi ndio pale mtu analia anatoa machozi kabisa,machozi hutoka na hizo homoni.
mtu akiwa na stress,homoni ya Adrenocorticotrophic(ACTH) husababisha homoni ya Cortisol humwagwa kwenye damu,na ikizidi huleta matatizo ya kiafya, sasa ili hayo matatizo ya kiafya yasitokee inabidi hiyo ACTH ipunguzwe na hukoka kwa njia ya machozi(hapo utaona mtu analia). hiyo hufanya na kiasi cha cortisol kupungua.
pia kuna sumu nyingi,Endorphins ambazo hutolewa kwa machozi(machozi kutoka ndio mtu kulia).
wanawake hulia zaidi ya wanaume,wao wana homoni kama oestrogen na prolactin hizi huwafanya wawe wepesi kulia.
wanaume wana testosterone homoni zinazowafanya wawe wagumu kulia.kwa sababu ya ugumu huo, zile sumu ambazo zilitakiwa zitoke kwa machozi, hutolewa kwa njia ya jasho( ndio maana wanaume hutokwa sana jasho kuliko wanawake).

Ukiona mtu anacheka mpaka analia ni kwamba wakati anacheka tezi za machozi zimebonyea hivyo machozi yakatoka.

kisaikolojia kulia huonesha hisia za mtu kama kuchukia, kufurahi, na kupenda hasa mtu anapolia kwa ajili ya mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom