Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Sababu ni ................................?????
The problem of Africans is that those with ideas have no power and those with power have no ideas.Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.
Kwanini?
Naunga mkono hojaThe problem of Africans is that those with ideas have no power and those with power have no ideas.
1. Unafiki.
2. Kujipendekeza.
3. Uchawa.
Kuikubali CCM lazima uwe mjingaHii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.
Kwanini?
Kafungue kesi mahakamani mkuuMbona mnamtukana muheshimiwa Raisi kizembe sana
umekosea yaani wewe ndiyo unakuwa mpumbavu kutoingia ccm chama makini kwahiyo unakuwa tofauti na watu wenye akili yaani hapo jijue kuwa huna akiliHii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.
Kwanini?
chama gani unaona wana akili kama siyo ccm?Kuikubali CCM lazima uwe mjinga
Uo utafiti mmeufanya wapi MACHADEMA?Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.
Kwanini?
Sababu ni hii hapa.Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.
Kwanini?
Watakuja kukupatia muongozo. qatakwambia haya yote uliyoyaandika ndio Upumbavu wenyewe.Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.
Kwanini?