Kwanini mtu akiwa mwanachama wa CCM hupoteza uwezo wa kufikiri?

Watakuja kukupatia muongozo. qatakwambia haya yote uliyoyaandika ndio Upumbavu wenyewe.

Kwamba; hata ile fikra ya kwamba mwanachama yeyote yule wa CCM kuwa hupoteza kabisa uwezo wa kufikiri au kuongea upumbavu, ndio Upumbavu wenyewe.

Ngoja tupate muongozo kutoka kwa Lucas Mwashambwa na sidekick wake Gentleguy Tlaatlaah .
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe
 
Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.

Kwanini?
Wewe ndio huna judgement ya uhalisia wa siasa zetu zilivyo!

Uchaguzi popote Duniani haujawahi kumpa ushindi wa Dola mtia Nia bali Dola huamua kaboa ya uchaguzi nani awe mshindi na kutafufa nanna ya mshindi aliepangwa kuhalalishwa mshindi!!

Unafikiri Dola zinafanya pata potea!!?Dola yetu yaani vyumba vya Siri vya taifa ndio viliamua Hadi Leo mshindi wa urais na idadi kubwa ya wabunge watoke ccm na hayo mengine yawe matawi you ku support chama tawala!!

Ukielewa haya hutohangaisha kichwa chako na utakua mwanasiasa mzuri ulipevuka kuliko vinginevyo!

Siku dola ikiamua upinzani ndio ushike utashika na itategemea haswa makada wa chama Tawala wamekosea wapi kiasi kwamba wanahatarisha usalama wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania!!
 
Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.

Kwanini?
Swali la msingi kabisa hili na jibu lake ni: Ubongo uhamia tumboni.
 
Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.

Kwanini?
Kama huyu Profesa anayetaka huu mziki ndio uwe utambulisho wetu kimataifa na wala sio Tanzanite
 
Hatunywi sumu hatujinyongi🎼
CCM mbele Kwa mbele Kwa mbele🎼
Tumeipenda wenyew ndi-ndi 🎼
😂😂😂
 
Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au kufanya mambo ya kipumbavu.

Kwanini?
kwamba kukosa kwako hoja, mawazo mapya na fikra mbdala ndio ujanja right?

au unamaanisha Chadema kuchagua kiongozi mkuu kibaka wa kisiasa na tapeli wa kuombaomba kuchangiwa na wananchi maskini pesa za pocket money na matumizi ya chama chao ndio waerevu gentleman? ama ?🐒
 
Watakuja kukupatia muongozo. qatakwambia haya yote uliyoyaandika ndio Upumbavu wenyewe.

Kwamba; hata ile fikra ya kwamba mwanachama yeyote yule wa CCM kuwa hupoteza kabisa uwezo wa kufikiri au kuongea upumbavu, ndio Upumbavu wenyewe.

Ngoja tupate muongozo kutoka kwa Lucas Mwashambwa na sidekick wake Gentleguy Tlaatlaah .
kukosa content ni kitu mbaya sana gentleman 🐒
 
Hawana uwezo wa kufikiri vizuri na wanawashinda uchaguzi ??
 
Back
Top Bottom