Salaamu kwa wote, ili swala mara nyingi la kupata maumivu ya mioyo hata kuvunjika mahusiano linatokea kwenye mahusiano na ndoa nyingi ambapo mmoja wapo anapotambua mwenzie kachepuka. Presha ya kuchukuliwa mke au mume ni kubwa sana hasa ukiwaza alichofanyiwa huko alikochepuka.
Wakati huo huo tumekuwa wepesi sana kutoka na mume au mke wa mtu bila hata kuwaza yale uyo unaechepuka naye (mchepuko) anafanya au anafanyiwa kwa mwenza wake, tena unaweza hata kumuuliza mumeo/mkeo akitufumania itakuwaje ( unapata uwoga tu wa kufumwa na si wivu wa kushea) !!!!
Je kwa nini mtu wako anauma mpaka unapata msongo wa mawazo na ugomvi kuibuka ukigundua?