Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Siamini kitu kama hicho nitakukubalia yapate kusiha mankachara Yapo Maradhi ya kurithi sio kujambishwa ukaruka Eti amerithi nooo kitu kama hicho hakuna kabisa ni uzushi tu huo.Hapana watu wengi wenye kuumia endapo utawajambishia, ukiulizia zaidi utaambia aidha baba ake au babu yake alikua na tabia hiyo, na vile vile unaweza ukasababisha ajali maana hata mtu kama anaendesha baiskeli ukimjambishia anaanguka chini, kwa hiyo hawafanyi kusudi hawa
Siamini kitu kama hicho nitakukubalia yapate kusiha mankachara Yapo Maradhi ya kurithi sio kujambishwa ukaruka Eti amerithi nooo kitu kama hicho hakuna kabisa ni uzushi tu huo.
Uko pamoja na mimi Mzizi mkavu huu c ugonjwa Wa kurithiSiamini kitu kama hicho nitakukubalia yapate kusiha mankachara Yapo Maradhi ya kurithi sio kujambishwa ukaruka Eti amerithi nooo kitu kama hicho hakuna kabisa ni uzushi tu huo.