Kwanini mtu anastuka anapojambishwa ?

Kwanini mtu anastuka anapojambishwa ?

Hapana watu wengi wenye kuumia endapo utawajambishia, ukiulizia zaidi utaambia aidha baba ake au babu yake alikua na tabia hiyo, na vile vile unaweza ukasababisha ajali maana hata mtu kama anaendesha baiskeli ukimjambishia anaanguka chini, kwa hiyo hawafanyi kusudi hawa
Siamini kitu kama hicho nitakukubalia yapate kusiha mankachara Yapo Maradhi ya kurithi sio kujambishwa ukaruka Eti amerithi nooo kitu kama hicho hakuna kabisa ni uzushi tu huo.
 
Last edited by a moderator:
pwiiiiiiiiiiiiiiin.....
priiiiiiiiiiiiiii....
praaaaapraaataaata......
 
Siamini kitu kama hicho nitakukubalia yapate kusiha mankachara Yapo Maradhi ya kurithi sio kujambishwa ukaruka Eti amerithi nooo kitu kama hicho hakuna kabisa ni uzushi tu huo.

kama huamini sawa mimi sina la kukueleza, lakini kama wangekua wanafanya kusudi basi kuna mazingira lazima wangejizuia
 
Last edited by a moderator:
Nilivyosoma heading yako tu nikajikuta nashtuka.
 
Jarb kujiuliza ushuzi unatoka wap ???Then hii moja moja inaashiria kwamba unapojambisha anayestuka ni kwamba unamkumbusha kitu kinachotoa ushuz hvyo anahisi kama unamkatili.
 
Back
Top Bottom