Kwanini mtu mweusi anaifluence kubwa sana kwenye muziki duniani?

Kwanini mtu mweusi anaifluence kubwa sana kwenye muziki duniani?

[emoji23][emoji23]

Na watu weupe wana influence kubwa sana kwenye vitu vya maana na vyenye tija.. ..weusi wengi wao wametageti kwenye mambo ya kijinga hata watoto wao baadae wanakuja kurithi ujinga walioachiwa na wazazi.

[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
Unakosea sanaa kuiita culture yako ni ujinga.

Mkataa kwao ni mtumwa. Be proud with what you have.

Wazungu hawana mpango na wewe.

Unawapenda watu wasio na utamaduni? Shame.
 
Huo ni upuuzi wa mfumo wa magharibi wachina asilimia 97 hawasikilizi hiyo miziki na wako 25 per ya dunia ,ongeza wahindi wako bil 1 nao wanasikiliza zaidi miziki yao ,tatizo wamarekani na ulaya ambao hawaikuti idadi ya wahindi tu wameshika sana media ndo maana ukifika china kuna wasanii wanawapenzi wengi sana na hawajawahi sikia neno hiphop
 
Unakosea sanaa kuiita culture yako ni ujinga.

Mkataa kwao ni mtumwa. Be proud with what you have.

Wazungu hawana mpango na wewe.

Unawapenda watu wasio na utamaduni? Shame.

Sasa mkuu, hayo alolist mleta mada yanafundisha au yanaharibu kabisa vizazi vyetu! Huoni kuwa hayana maana!

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Back
Top Bottom