Leo nimeshangaa sana nimeenda NMB kuweka makusanyo yangu madogo madogo nashangaa teller ananiambia kuna makatao ukitaka kuweka kila denomination unakatwa 2,300/= denomination mfano 50, 100, 200, na 500 hivi kweli kwa hali hii ndio tumeeweka misingi ya wajasiriamali???