Kwanini mtu ukitaka kuweka hela za coin(shilingi) bank kama NMB unatakiwa kulipia 2,300/=

ps3

Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
14
Reaction score
18
Leo nimeshangaa sana nimeenda NMB kuweka makusanyo yangu madogo madogo nashangaa teller ananiambia kuna makatao ukitaka kuweka kila denomination unakatwa 2,300/= denomination mfano 50, 100, 200, na 500 hivi kweli kwa hali hii ndio tumeeweka misingi ya wajasiriamali???
 
Kuliko uziweke benki halafu wewe ndo uilipie, bora ukazipange barabarani stand wenye daladala wakizichukua wao ndo watakaokulipa wewe.
 
Back
Top Bottom