kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Sio mtwara pekee ruvuma unaiachaje ukanda ule darasa la 6 wanaamka magheto au nyumba za wanaume kwenda shuleni walimu wakuu wanajua kilakitu wenyeviti kamati zashule wanajua wenyeviti vijiji na mitaa wanajua
Swali lako muhimu Sana , Hawa wataaluma wilaya idara zote mbili msingi na sekondari wakurugenzi wakuu wilaya usalama wilaya na mkoa wakowapi wanafanya nn
Kijiji Cha LIGUNGA tunduru pale ni balaa hovyo kabisa na mipombe yao ya mnanzi na bangi zao
Utawasingizia bure hao wataaluma..mwanachi wenyewe ndio hawana mwamko na hawapendi tu elimu dunia..inawachewesha kuoana na kuzaana...kusini kukuta binti wamiaka 18 kaachika mara 3 kawaida sana..huki kila mtoto na babayake.Sio mtwara pekee ruvuma unaiachaje ukanda ule darasa la 6 wanaamka magheto au nyumba za wanaume kwenda shuleni walimu wakuu wanajua kilakitu wenyeviti kamati zashule wanajua wenyeviti vijiji na mitaa wanajua
Swali lako muhimu Sana , Hawa wataaluma wilaya idara zote mbili msingi na sekondari wakurugenzi wakuu wilaya usalama wilaya na mkoa wakowapi wanafanya nn
Kijiji Cha LIGUNGA tunduru pale ni balaa hovyo kabisa na mipombe yao ya mnanzi na bangi zao
Twende kwenye swali lamsingi ,wanaotakiwa kuandaa takwimu hizo ni wazazi endapo takwimu zotatolewa ndipo kushitukiwa kwa jambo madam/dear sir au nakoseaUtawasingizia bure hao wataaluma..mwanachi wenyewe ndio hawana mwamko na hawapendi tu elimu dunia..inawachewesha kuoana na kuzaana...kusini kukuta binti wamiaka 18 kaachika mara 3 kawaida sana..huki kila mtoto na babayake.
#MaendeleoHayanaChama
Yaan watu kufurahia watoto wao kumaliza hatua fulani ya elimu ni kitu cha ajabu?Katika vitu vya ajabu nakushangaza kipindi naishi kusini ni kuona siku ya mtihani wa mwisho wa darasa la saba..wazazi wanafanya sherehe kubwa sana na wengine huenda hadi shuleni kusubiria watoto wao wamalize mtihani waondoke nao kwa furaha na bashasha nyingi.
Sikuhiyo vyakula vitapikwa..miziki itakodishwa mabodaboda mtaani watatapakaa njia nzima wakiwa msafara kushindikiza wazazi na watoto wao .
Kumbe lengo kuu ni kufurahi huko ni kwamba sasa mtoto yuko free kwenda kuozeshwa na kama wakiume yuko free kutumwa mjini(dsm) kwenda kutafuta maisha.
Wazazi hufika mbali zaidi kuwashawaishi watoto wao waandike majibu ya uongo katika mitihani yao ili wafeli makusudi kwa malengo tajwa hapo juu.
Hakika kusini kuna mambo ya ajabu sana..elimu dunia kwao ni haramu.
Serikali inakazi kubwa saa kubadilisha mentality za hawa watu.
Wabeja sana.
#MaendeleoHayanaChama
TZ-1Kama viongz unaowataja wanajua wazaz hawajui
Hilo ni jukumu la mzazi nje ya shule mwl awez kufata mwanafunz geto au kuanzisha kesi bila mzaz wake kuhusika
Jamaa ina harbu san
Wake zao wanahitimu darasa la 7 hapo watu waliolipa Mali mapema kishika uchumba wanachukua wakezaoKatika vitu vya ajabu nakushangaza kipindi naishi kusini ni kuona siku ya mtihani wa mwisho wa darasa la saba..wazazi wanafanya sherehe kubwa sana na wengine huenda hadi shuleni kusubiria watoto wao wamalize mtihani waondoke nao kwa furaha na bashasha nyingi.