Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Dkt. Tulia alitangaza kugombea usipika GHAFLA akabadili gia angani, sijui nini kilimsibu ila lipo jambo ndani ya CCM lilijitokeza.
Sizungumziii hata like la Majaliwa, maana staki nongwa mimi.
Juzi mume wa Dr Tulia, kaliwa kichwa. Na Rais na hakutoa sababu lakini inasemekana ni upandaji wa mafuta. Leo kaimu wa Nafasi yake katangaza bei mpya. SWALI kwa Nini alitumbuliwa?
Siasa bhana, ccm imeshindwa kutawala Tanzania imechoka ni chama cha wazee wakina wasira na wenzake wakina Butiku watoke madarakani
Rejea wimbo wa mtumishi munish
Soma Mkurugenzi EWURA atenguliwa