Habari kwenu,
Dunia inavyozidi kwenda watu wanaona kama bikira haina thamani, wengine wanawashambulia walio nazo kwamba ni washamba.Mimi ninavyo amini ubikira wa mwanamke huashiria uthamani mkubwa na utu wake.
Mke anaeolewa akiwa na bikira ana thamani kubwa sana kimapenzi, wengine ukiwaambia wanakasika kwa kuwa tu waliolewa wakiwa wameondolewa na waume wengine.
Wengine watakuja wasema grow up man bikira siyo ya muhimu.Kwa kuwa kuna mabinti wanasoma humu wito wangu ni kwamba usidanganyike ukaitoa bikira kabla ya kuolewa hiyo ni zawadi ya pekee kwa mumeo usidanganyike kuitoa.
Swali kwa wanaobisha tafadhali niambieni kwanini Mungu aliamua kumuwekea mwanamke bikra?