Kwanini Mungu aliamua kumuwekea mwanamke bikra?

Kwanini Mungu aliamua kumuwekea mwanamke bikra?

Nijuavyo mimi bikira ni yule ambaye hajawahi kufanya mapenzi. Sasa swali ni kwamba je hiyo ina-apply kwa mwanamke tu? Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi anaitwaje? Je, ni mwanamke tu ndio anatakiwa kutunza bikra yake?
Mkuu bikra ni kwa jinsia zote hivyo sote tunawajibu wakiitunza hadi wakati wa ndoa
 
MUYOOL

Thread yako ingekuwa na maana kama usingeweka maelezo kuhusu bikra ktk content yako.
Heading yako imeandikwa kama swali, then umemwaga maelezo alafu umemalizia kwa kuuliza swali!
 
Last edited by a moderator:
Na ni kwanini mungu alituwekea "MAGOVI" na why tunayatoa?kama ni amri ya mungu why aliyaweka na sasa anasema tuyatoe?
 
Nijuavyo mimi bikira ni yule ambaye hajawahi kufanya mapenzi. Sasa swali ni kwamba je hiyo ina-apply kwa mwanamke tu? Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi anaitwaje? Je, ni mwanamke tu ndio anatakiwa kutunza bikra yake?

Mkuu unaonaje ukifungua Uzi?
 
pote

mkuu umeeleza vizur, ila tujiulize,,,, vipi kwa wale ambao kabla hawajamjua Mungu walishaharib na kisha wakachumbiwa hiyo ndoa haitakuwa na kibali kwa Mungu?
 
Last edited by a moderator:
Habari kwenu,

Dunia inavyozidi kwenda watu wanaona kama bikira haina thamani, wengine wanawashambulia walio nazo kwamba ni washamba.Mimi ninavyo amini ubikira wa mwanamke huashiria uthamani mkubwa na utu wake.

Mke anaeolewa akiwa na bikira ana thamani kubwa sana kimapenzi, wengine ukiwaambia wanakasika kwa kuwa tu waliolewa wakiwa wameondolewa na waume wengine.

Wengine watakuja wasema grow up man bikira siyo ya muhimu.Kwa kuwa kuna mabinti wanasoma humu wito wangu ni kwamba usidanganyike ukaitoa bikira kabla ya kuolewa hiyo ni zawadi ya pekee kwa mumeo usidanganyike kuitoa.

Swali kwa wanaobisha tafadhali niambieni kwanini Mungu aliamua kumuwekea mwanamke bikra?
Sidhani kama bikra kwa dunia ya leo ni kitu muhimu, kwani kuna waliokutwa na bikira baada ya kuondolewa hiyo bikira wakazoea baadae wanakuwa wanawake wenye tabia mbaya wanaoruka kwa kila mtu (sio wote) ninachotaka ni seme hapa ni kuwa bikira sio kikezo muhimu kinachoweza kufanya ndoa iwe na maana.
 
Mkuu bikra ni kwa jinsia zote hivyo sote tunawajibu wakiitunza hadi wakati wa ndoa

Malena wawili wakikutana si ajali hiyo si kichekesho hicho? kwanza kabisa mimi sitaki kabisa mwanamke mwenye bikra ni usumbufu na upotevu wa muda kama unaharaka zako yani mpaka unajuta maana starehe inakuwa kero, ni tabu. Kwa wale ambao wamebahatika kukutana nazo watakubaliana nami maana kama ni goli litakuwa moja kwa siku hiyo. Si hamasishi wakina dada wasijitunze ila kwa kweli mimi binafsi nikiwa na haraka zangu tabutabu sipendi, mimi nimezoea kwa saa moja hilo lazima natoka na harttrick sasa ikiwa ishu za usumbufu no:A S 103:
 
Nijuavyo mimi bikira ni yule ambaye hajawahi kufanya mapenzi. Sasa swali ni kwamba je hiyo ina-apply kwa mwanamke tu? Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi anaitwaje? Je, ni mwanamke tu ndio anatakiwa kutunza bikra yake?

You have hit the point..I was just asking myself on how to respomd to this post

Virginity (in relation to humans) means that person who has never engaged in sexual intercourse, be it male or female..so in reality it does not apply and end to females only but even we, males are concerned

and virginity goes deeper than that layer on the women genitals but the very fact that such woman has never done sex is what matters most.

it is scientifically proved that there are various ways by which that layer can be destroyed..I am told that bicycle riding is among such ways, but I ain't sure..so if virginity is taken to be a physical thing then a person is apt to draw wrong conclusion when he finds that layer unavailable

When God created females he put put it there just as a sign but it is not conclusive

Think of the societies which have the customs of inspecting and checking girls to ensure that their virginity is intact...do you know what gals do?...they fall to practicing oral and annal sex..in such a way their "virginal" virginity is preserved but what about their "tigos?"..can anyone say that such gals are ok? I mean its like you think that your wife was a virgin when you first consummated your marriage but in reality several hooligans had already enjoyed her rear end to the maximum.

So the bottom line is what matters is that people should not indulge in per-marital sex but we men should stop judging women based on the absence of their so called virginity

And I am sorry for ancient people who used to murder their daughter because "they put them to shame" because of having no "bikira as a layer" and not as a state at the time of marrying!!!

Lastly to my fellow men..if you have already gone through legs of a legion of gals, can you by any means wish and pray to marry a virgin gal? what about those you fornicated? who is gonna marry them?
 
Kama Yesu Kristu hakuwa na mke, basi Mungu aliweka bikra kwa mwanamke kama kufuli kuzuia tusishiriki mambo ya kimwili, iwe kwa wenye ndoa, au wasio na ndoa.
 
Back
Top Bottom