Kwanini Mungu hazungumzi tena na watu wa leo?

Sio kweli
Pale Mungu hazungumzu na wewe usifanye watu wote hawazungumzi na Mungu.

Mungu anazungumza sana tena sana na watu wake kwa njia mbalimbali.
 
Mambo ya kiimani haya, kama kweli aliongea au la, nani wa kuthibitisha? Tunayasoma na kuamua kuamini hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…