C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
Deals sio Pesa Bali ubunifuUngeweka mbili tuzilinganishe halafu ukatuambia ipi ni ya educated na ipi ni ya uneducated, na vipimo vyako kusema hivyo ni vipi?
Inawezekana kukawa na issue ya wenye hela wanaoweza kufanya vizuri na wasio na hela wasiofanya vizuri, ukafikiri issue ni educated vs uneducated.
Weka basi nyingine ya aliyepigika kama huyu tuweze kulinganisha.Deals sio Pesa Bali ubunifu
HahahahWeka basi nyingine ya aliyepigika kama huyu tuweze kulinganisha.
Namuona USHUBWADA ameshakula vitu vyake kakamatia simu baada ya kuvimbiwa na Makande kisha akapiga NYAGI visichana viwili sasa anaropoka tu JF bila kujua hata hii JF anayoitumia chanzo na wazo ni la Mtanzania huyo huyo anaempakaa kinyesiWatanzania sote vilaza hakuna hata mmoja alie vumbua kitu cha maana zaidi ya kuwa waajiriwa na matapeli tu.
Sister wako nipo nae hapa yeye ndie alitumia simu yangu ku comment mkuu. Acha nimtie adamu nikimaliza Nyagi.😂Namuona USHUBWADA ameshakula vitu vyake kakamatia simu baada ya kuvimbiwa na Makande kisha akapiga NYAGI visichana viwili sasa anaropoka tu JF bila kujua hata hii JF anayoitumia chanzo na wazo ni la Mtanzania huyo huyo anaempakaa kinyesi