Kwanini mwajiriwa yuko na kiburi, jeuri na majivuno kuliko bosi?

Kwanini mwajiriwa yuko na kiburi, jeuri na majivuno kuliko bosi?

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Habari wanajukwaa.

👤 Waajiriwa ndo maana wanabaki kuwa watumwa wa siku zote maana hata mungu anaona kinachoendelea.
Unakuta mfanyakazi anavimba kama yeye ndo boss.

👤 Jeuri, kiburi majivuno daah balaa tupu,uchawa mwingi sema yote ni njaa na kuwa na akili finyu. Any way point ni kwamba wafanyakazi wengi hawatoki hapati blessing kwasasabu roho mbaya inawaponza.

👤 Boss angekuwa anavimba kama mfanyakazi anavyovimba nadhani watu wangekufa na umaskini.

👤 Nakumbusha tu hiyo kazi aliyonayo na umeajiriwa kuwa na adabu nayo wapo wengi wanatamani kuwa hapo ulipo so endelea kujiona boss wakati we jikaze utafeli.

👤 ASILIMIA KUBWA YA WAAJIRIWA NDO WATU AMBAO WANAONGOZA NA KUWA NA DHARAU. HELA YENYEW YA MSHAHARA 😁 NACHEKAGA TU.

SI TUNASUBIRI USITAAFU PRESHA IKUFIKE.
 
Back
Top Bottom