Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sevilla yupo nafasi ya 11(La liga) kamchapa Man United ambaye yupo nafasi ya 3(EPL) kwenye Final ya Europa.Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani bingwa anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
hebu zitaje hizo timu dhaifu?Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani bingwa anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
sasa Man U ni timu au kikundi cha kwaya😂😅Sevilla yupo nafasi ya 11(La liga) kamchapa Man United ambaye yupo nafasi ya 3(EPL) kwenye Final ya Europa.
Ligi za Ndani usizifananishe na Ligi ya Kimataifa, ligi za ndani zinaweza kuwa ni strong kuliko ligi ya kimataifa.
Zidane aliwahi kusema ilikuwa ni rahisi kushinda UCL kuliko kushinda La liga.
Kwa hiyo Ligi ya Algeria ni strong kuliko Ligi yetu.View attachment 2645502
Nimeita dhaifu kutokana mambo mengi, mara timu nyingine kutokuwa na nauli, mara timu imeshuka daraja huko na pia bingwa nafasi ya kumi kwenye msimamo.Taja timu ambazo ni dhaifu ni zupiy? Sema kwanini kulikuwa hakuna timu maarufu zenye majina makubwa. Na sio useme dhaifu, unless utoe sababu zako Kwanini umeziita dhaifu
Marumo kashuka darajaTaja timu ambazo ni dhaifu ni zupiy? Sema kwanini kulikuwa hakuna timu maarufu zenye majina makubwa. Na sio useme dhaifu, unless utoe sababu zako Kwanini umeziita dhaifu
Tuache ushabiki lakini mwaka huu Yanga walikuwa na bahati sana ilikuwa nafasi ya kubeba kombe, kulingana na timu amepambana nazo.Hamuyaamini maneno yenu..??? Mara ooh USMA ni bora kuliko hao marumo... leo mnaanza na wimbo wa timu dhaifu... haya hongera wewe uliye bora mwenye kombe la robo fainali
Usijichoshe kuwaandikia Facts Makolo, Rage alishamaliza so huwa hatutumii akili kudili nao. Ni kunata na beat tu humo humo.Sevilla yupo nafasi ya 11(La liga) kamchapa Man United ambaye yupo nafasi ya 3(EPL) kwenye Final ya Europa.
Ligi za Ndani usizifananishe na Ligi ya Kimataifa, ligi za ndani zinaweza kuwa ni strong kuliko ligi ya kimataifa.
Zidane aliwahi kusema ilikuwa ni rahisi kushinda UCL kuliko kushinda La liga.
Kwa hiyo Ligi ya Algeria ni strong kuliko Ligi yetu.View attachment 2645502
Man u ilifika fainali za europa lini mnyampaaSevilla yupo nafasi ya 11(La liga) kamchapa Man United ambaye yupo nafasi ya 3(EPL) kwenye Final ya Europa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marumo kashuka daraja
Usma nafasi ya kumi
Rivers wapo machokoroni huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi Rage ana mademu wengi Sana huko utopoloni Maana hamuishi kulitaja jina lake.Usijichoshe kuwaandikia Facts Makolo, Rage alishamaliza so huwa hatutumii akili kudili nao. Ni kunata na beat tu humo humo.
Mbona unauliza maiti mochwari? Hilo ni kombe la vibonde wale walioshindwa ubingwa wa nchini kwao na wale walioshindwa kuendelea kwenye CAFCL ndiyo hao.Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Rage ana mademu wengi huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi anavyowapelekea motoUsijichoshe kuwaandikia Facts Makolo, Rage alishamaliza so huwa hatutumii akili kudili nao. Ni kunata na beat tu humo humo.