Kwanini mwaka huu Kombe la Shirikisho (CAFCC) kulikuwa na timu dhaifu

Kwanini mwaka huu Kombe la Shirikisho (CAFCC) kulikuwa na timu dhaifu

Wakiifunga Yanga mnawasifia mapambio kila aina mara hawajawahi kufungwa kwao nk Yanga akiwafunga wanageuka dhaifu ghafla,
Hao usma unaosema wapo nafas ya 10 walimtoa asfar ambae yupo nafas ya ngap hapo??
Rage alimaliza kila kitu
Akija kujibu hapa uniambie
 
Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
We ni pumbavu sana hizo unazo ziona sio dhaifu zimezitoa unazo ziona imara mpaka kufika hapo hua udhaifu mnao usema ni kwa sababu tu yanga kafika fainali
 
We ni pumbavu sana hizo unazo ziona sio dhaifu zimezitoa unazo ziona imara mpaka kufika hapo hua udhaifu mnao usema ni kwa sababu tu yanga kafika fainali
Mpumbavu Waheed Mwenyewe..!
Soma Uzi uelewe kisha uchangie.
 
Nini maana ya timu dhaifu kwa tafsiri yako??
Au umezoea kukariri ??
Kwahio morocco alivyofika nusu fainali WC alikutana na timu dhaifu au France alivyomtoa Morocco nusu fainali ilikuwa timu dhaifu ??
 
Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Hicho ndio kigezo chako cha udhaifu, kwani nini isiwe ni kile team ilicho lenga kuwa,au kuwekeza nguvu na rasilimali zaidi?Na je vipi kama ligi bado haijaisha🤔
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu zote za msimu huu zilikuwa vibonde,tena vibonde tena.
 
Mpumbavu Waheed Mwenyewe..!
Soma Uzi uelewe kisha uchangie.
Ninaamini Msimu ujao tutafanya vema kwenye ligi ya Mabingwa na kufika hatua ambayo hakuna timu ya Tz ilifika.

Binafsi nimefurahishwa sana na Mafanikio ya Yanga na pia nina Imani wana Baraka za Mungu. Hizi timu zetu kuna moja inapenda nuru na nyingine giza na uchawi. Hata ukifuatilia tabia za Mashabiki wa hizi timu utaona viwakilishi vya tabia hizo. Huwezi kuwa Simba ukaipenda nuru, wengi ni washirikina na wenye wivu.

Qatif unaonekana tu ni Mtu uliyejaa husda na Ulozi
 
Nimeita dhaifu kutokana mambo mengi, mara timu nyingine kutokuwa na nauli, mara timu imeshuka daraja huko na pia bingwa nafasi ya kumi kwenye msimamo.

Unategemea kupata ushindani kwa hali hii kweli..!
Timu gani iliyokosa nauli katika michezo kuanzia raundi ya makundi?
Kushuka daraja na kuwa chini kwenye msimamo wa ligi za nyumbani haziwezi kuwa Sababu maana hayo ni mashindano mawili tofauti. Timu inaweza ikashika nafasi ya 10 kwenye ligi ya kwao lakini ikabeba kombe la champions league.

Hizo timu zilizoshuka daraja au kuwa chini kwenye ligi yao ndio hizo hizo zilizokuwa bora kwenye nchi zao na kupata nafasi ya kuwakilisha nchi zao lakini kwasasa timu zingine zimejiimarisha zaidi
 
Kama hujui kuwa haya mashindano yana madaraja basi kafie mbele huko.
Usijihasaulishe... Yanga unecheza nae ligi KUU NBC na hujaaambua kitu pamoja na kuwa timu yenye class dogo kulinganisha na timu kubwa kama simba. Sasa hii Simba ukubwa wake uko wapiiiiiii? Kwenda kukata kata viuno huko uarabuni ma kurudi hapa bila marinda?
 
Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Simba alivyotolewa na kaiser kaiza alikuwa nafasi ya 10 kwenye msimamo
 
Usijihasaulishe... Yanga unecheza nae ligi KUU NBC na hujaaambua kitu pamoja na kuwa timu yenye class dogo kulinganisha na timu kubwa kama simba. Sasa hii Simba ukubwa wake uko wapiiiiiii? Kwenda kukata kata viuno huko uarabuni ma kurudi hapa bila marinda?
Usihamishe magoli,mada ni timu zinazoshiriki loosers cup. Ndiyo maana mnashindwa mitihani soma maelezo kabla hujakurupuka kujibu swali.
 
Back
Top Bottom