mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Mwafrika ana mambo fulani hivi ya kushangaza lakini yapo na huwezi kuyajibu kisayansi.
Mwaka unaogawanyika kwa 5 au tuseme mwaka wa uchaguzi huwa kuna uhaba wa mvua,watabiri wa hali ya hewa huwa hawana majibu kwa hili jambo.
Mzee mmoja akaniambia kwa hiyo ulitaka mwenyekiti wa chama ahutubie kampeni huku mvua zinanyesha eboo.
Nasikia kule vilingeni wanakofundisha uchawi,hakuna somo jepesi kama kukimbiza/kuzuia mvua,.huwezi kufaulu mtihani wa uchawi kama huwezi kuzuia mvua maana ndio kozi rahisi kuliko zote chuoni.
Tunzeni chakula vizuri msijesema sijawaambia