2023-2030 ni miaka ya taabu,
Zisingefupishwa siku hizo, asingeokoka hata mmoja.
Kutunza chakula pekee hakutosaidia,
Iitokea njaa ya hatari time za Nabii Elijah, walikufa watu wengi lakini Elia muda wote alilishwa na kunguru,
Alikula chakula mlo mmoja na alikaa siku arobaini pasipo kula chochote na hakufa. Mjane pia alipompa sadaka ya chakula Nabii Elijah, hakupungukiwa unga na mafuta kidogo aliyokuwa nayo Hadi njaa ilipokwisha.
Muhimu ni kuacha dhambi na UOVU na kuishi maisha matakatifu, WATAKATIFU wa Mungu, Mungu huwatunza,huwaficha na kuwaepusha na majanga na Kila aina ya ubaya.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.