Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Napenda kujua sababu za kuhairishwa mkutano wa Mwalimu Mwakasege siku ya leo pale mjini Morogoro.
Alisema nchi inavuja damu, akasema Mungu tenda sasa maana maumivu kwa wananchi yamezidi.....nadhani wamemfungiaNapenda kujua sababu za kuhairishwa mkutano wa Mwalimu Mwakasege siku ya leo pale mjini Morogoro.
Kwakuwa ww n kobaz, sishangai h comment yako mana inawezekana hata humjui huyo mwakasege mana Jamaa hana ule upuuzi kama wa akina mwamposaWateja hamna
Naunga mkono hojaWateja hamna
Hii naipa sabani asilimiaAlisema nchi inavuja damu, akasema Mungu tenda sasa maana maumivu kwa wananchi yamezidi.....nadhani wamemfungia