Kwanini Mwalimu Nyerere alifukuza Israel mwaka 1973? Aliona nini?

PseudoDar186

Senior Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
104
Reaction score
241
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel.

Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?

Na je, alikuwa sawa kwa mujibu wa matendo ya ukatili Israel anayofanya sasa hivi dhidi ya vichanga, watoto na wanawake zaidi ya 65,000 huko Palestina?
 
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel. Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?

Alikuwa na ujinga tu ndo maana nchi imefika hapa leo.
 
Kuua watoto zaidi ya 40,000 Kwa gharama ya magaidi si mchezo, inahitaji moyo wa chuma na kujikana nafsi kweli kweli... Mafundisho ya kiyahudi husema kuwa yoyote asiye Jew ni sawa na mnyama, ukiua goyi(asiye Jew) ni sawa umeua mnyama. Lawama ziende Kwa Magaidi na Zionists.
 
Nyerere alikuwa na maono ya mbali sana. Pamoja na mapungufu yake, aliweza kuona mbele sana. Hii miaka miwili tumejua ukweli sana kuhusu Israel na nchi za Magharibi. Sikujuwa kwamba sisi tuna jina letu (goy).
 
Kuua watoto zaidi ya 40,000 Kwa gharama ya magaidi si mchezo, inahitaji moyo wa chuma na kujikana nafsi kweli kweli... Mafundisho ya kiyahudi husema kuwa yoyote asiye Jew ni sawa na mnyama, ukiua goyi(asiye Jew) ni sawa umeua mnyama. Lawama ziende Kwa Magaidi na Zionists.
Hii Ina tofauti gani na wasio waislamu ambao huitwa makafiri? Ambapo wapp huamini ukiua kafiri unaenda peponi?
 
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel. Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?

Na je, alikuwa sawa kwa mujibu wa matendo ya ukatili Israel anayofanya sasa hivi dhidi ya vichanga, watoto na wanawake zaidi ya 65,000 huko Palestina?
Nyerere pia alikuwa anakosea

Moja ya makosa ni kuwa Zanzibar na Tanganyika wagawane urais na umakamu
 
Kuua watoto zaidi ya 40,000 Kwa gharama ya magaidi si mchezo, inahitaji moyo wa chuma na kujikana nafsi kweli kweli... Mafundisho ya kiyahudi husema kuwa yoyote asiye Jew ni sawa na mnyama, ukiua goyi(asiye Jew) ni sawa umeua mnyama. Lawama ziende Kwa Magaidi na Zionists.

Hii imani yao inaendana na imani ya wanaopambana nao. Nao wanaamini Wao ni Makafir safi wakiua wengine ambao ni Makafiri wasio wenzao wataenda Mbinguni. So huko sasa wamekutana. Myahudi 1 sawa na Makafir Arabs 100. Patamu hapo.
 
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel.

Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?

Na je, alikuwa sawa kwa mujibu wa matendo ya ukatili Israel anayofanya sasa hivi dhidi ya vichanga, watoto na wanawake zaidi ya 65,000 huko Palestina?
Hitler alifanya kosa la kutowamaliza hawa viumbe
 
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel.

Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?

Na je, alikuwa sawa kwa mujibu wa matendo ya ukatili Israel anayofanya sasa hivi dhidi ya vichanga, watoto na wanawake zaidi ya 65,000 huko Palestina?
Alikuwa na ujinga maana waisrael ndio waliojenga chuo kikuu cha dsm. Na ndio walioanzisha JKT ambapo kule kwao ni mfumo unaitwa kibuttz. Tungeendelea nao tunge-upgrade JKT tuwe mbali kama wao.
 
Back
Top Bottom