PseudoDar186
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 104
- 241
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel. Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?
Na je, alikuwa sawa kwa mujibu wa matendo ya ukatili Israel anayofanya sasa hivi dhidi ya vichanga, watoto na wanawake zaidi ya 65,000 huko Palestina?
Babu yetu aliona mbali sana!Huyo babu alikuwa na mihemko sana
Nilitaka kukujibu, nikagundua unajiita CHIZIAlikuwa na ujinga tu ndo maana nchi imefika hapa leo.
Nyerere alikuwa na maono ya mbali sana. Pamoja na mapungufu yake, aliweza kuona mbele sana. Hii miaka miwili tumejua ukweli sana kuhusu Israel na nchi za Magharibi. Sikujuwa kwamba sisi tuna jina letu (goy).Kuua watoto zaidi ya 40,000 Kwa gharama ya magaidi si mchezo, inahitaji moyo wa chuma na kujikana nafsi kweli kweli... Mafundisho ya kiyahudi husema kuwa yoyote asiye Jew ni sawa na mnyama, ukiua goyi(asiye Jew) ni sawa umeua mnyama. Lawama ziende Kwa Magaidi na Zionists.
Siyo tu goy ni kafir piaNyerere alikuwa na maono ya mbali sana. Pamoja na mapungufu yake, aliweza kuona mbele sana. Hii miaka miwili tumejua ukweli sana kuhusu Israel na nchi za Magharibi. Sikujuwa kwamba sisi tuna jina letu (goy).
Vipi kuhusu huku Tanzania ambapo OBC wamenunua eneo loliondo heka zaidi ya 10000 ambapo hakuna mtu mwingine huruhusiwa kwenda?Mbona Bado Kenya hapo tayari wamenunua heka 520 ambapo watajenga mitaa kwaajili ya Jew tu ukionekana goy kule ukapigwa shaba msisumbue watu mliyataka wenyewe
Nilitaka kukujibu, nikagundua unajiita CHIZI
Hii Ina tofauti gani na wasio waislamu ambao huitwa makafiri? Ambapo wapp huamini ukiua kafiri unaenda peponi?Kuua watoto zaidi ya 40,000 Kwa gharama ya magaidi si mchezo, inahitaji moyo wa chuma na kujikana nafsi kweli kweli... Mafundisho ya kiyahudi husema kuwa yoyote asiye Jew ni sawa na mnyama, ukiua goyi(asiye Jew) ni sawa umeua mnyama. Lawama ziende Kwa Magaidi na Zionists.
Vipi kuhusu huku Tanzania ambapo OBC wamenunua eneo loliondo heka zaidi ya 10000 ambapo hakuna mtu mwingine huruhusiwa kwenda?
Nyerere pia alikuwa anakoseaMwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel. Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?
Na je, alikuwa sawa kwa mujibu wa matendo ya ukatili Israel anayofanya sasa hivi dhidi ya vichanga, watoto na wanawake zaidi ya 65,000 huko Palestina?
Kuua watoto zaidi ya 40,000 Kwa gharama ya magaidi si mchezo, inahitaji moyo wa chuma na kujikana nafsi kweli kweli... Mafundisho ya kiyahudi husema kuwa yoyote asiye Jew ni sawa na mnyama, ukiua goyi(asiye Jew) ni sawa umeua mnyama. Lawama ziende Kwa Magaidi na Zionists.
Nyerere pia alikuwa anakosea
Hii hawezi jibuVipi kuhusu huku Tanzania ambapo OBC wamenunua eneo loliondo heka zaidi ya 10000 ambapo hakuna mtu mwingine huruhusiwa kwenda?
Chizi Maarifa kwa lugha yangu ni KUNDU LENYE FUNZA.Mpwimbe kwa lugha yetu ni arsehole
Hitler alifanya kosa la kutowamaliza hawa viumbeMwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel.
Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?
Na je, alikuwa sawa kwa mujibu wa matendo ya ukatili Israel anayofanya sasa hivi dhidi ya vichanga, watoto na wanawake zaidi ya 65,000 huko Palestina?
Alikuwa na ujinga maana waisrael ndio waliojenga chuo kikuu cha dsm. Na ndio walioanzisha JKT ambapo kule kwao ni mfumo unaitwa kibuttz. Tungeendelea nao tunge-upgrade JKT tuwe mbali kama wao.Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliifukuza Israel hapa Tanzania mwaka 1973. Kwa muda wa miaka zaidi ya 20, Tanzania ilikata kabisa mawasiliano na mahusiano yote na hii nchi ya Israel.
Ni kitu gani haswa alichokiona Mwalimu Nyerere kilichomchukiza kiasi hicho?
Na je, alikuwa sawa kwa mujibu wa matendo ya ukatili Israel anayofanya sasa hivi dhidi ya vichanga, watoto na wanawake zaidi ya 65,000 huko Palestina?