Kwanini Mwanamke akikupenda na ukamkatalia kuwa nae kwenye mahusiano anakuchukia na kukuchukulia kama adui yake wa wazi.!?

Kwanini Mwanamke akikupenda na ukamkatalia kuwa nae kwenye mahusiano anakuchukia na kukuchukulia kama adui yake wa wazi.!?

Na ofcourse ni mara chache sana mwanaume kupindua vocal ya mdada.
Sijui kwa nini!
 
Kwanza jifunze kuandika mkuu then urudi hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana, reply imekaa kiofisa zaidi

Nimekumbuka kipindi niko kidato cha tano nilikuwa namiliki simu. Mida ya saa 11 ilikuwa ni mida ya ku chat na aliyekuwa mchumba wangu. Hiyo simu nilikuwa naichajia kwenye moja ya ofisi ya viongozi ambako alikuwepo rafiki yangu tuliesoma nae shule moja O level. Ofisi ilikuwa inafunguliwa saa 1 jioni, yaani hapo ukitoa muda wa vipindi darasani ambapo huwa wazi.

Siku moja nimeilaza chaji, mida ya saa moja kasoro dakika chache kufika muda wa pared nikaenda kuifuata ili nikaitunze kwenye tranka. Nilikutana na hilo jibu mle ofisini mpaka nikajiona takataka
 
Yupo mwngine nlimpanga kaniletea pio sio baada ya best angu kumwambia natoka na dem kicheche mtaani ila nikamkatalia...kumbe huyo kicheche ni huyo huyo best angu ndo anamgonga na najua ndo fika..ila ili kutoweka bifu kisa madem nmeamua kupiga kimya...ila sasa iv akiniona ananitambia kuwa anatoka na huyo best angu cz mimi sijatulia....huwa najikuta nacheka sanaa cz hajui yupo kweny folen ambayo akija jitambua atajiona mjinga sana
 
Salaaaaaaam.!

Hii imekaaje wakuu.! Mwanamke akikutaka kwa kukushawishi au kukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hata kwa njia za kistaarab na kiuungwana lazima ajenge chuki juu yako.!?
Mimi nilishawahi kuwakatilia 3,wa kwanza Darasa la 4,wa pili darasa la 7 na wa mwisho nipo mwaka wa 2 chuo.
Hao wawili wa Primary huwa tunakumbushiana tu huku tukifurahi.Kimbembe ni kwa huyu Mgogo wa Chuo yaani mpaka leo hii ana beef na mimi.Huwa najaribu hata ku_text na ku_comment kwenye post zake anaweza ku_like comments zote yangu inarukwa ila hafuti.
Kitu cha ajabu ameshaolewa na watoto anao
 
As a man inabidi uwe na standards wao wamekuwa nani mpaka wasikataliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
I second that,sio kila sehemu uchomeke dudu kuna wanawake hawafai hata kuongea nao daah najuta kuongea na pisi moja hivi ilinizushia nimeikula na nikawa nalia kama Simba zikafika mpaka ofisini wakiniona wananiita Simba 😁
 
Nahis hawakuchuki wewe ila wanachukia kile kilichoko ndani yao juu yako.

Ngoja waje wenyewe kujibu to yeye
 
Nahis hawakuchuki wewe ila wanachukia kile kilichoko ndani yao juu yako.

Ngoja waje wenyewe kujibu to yeye
Afu Wala,huyo kukukatalia maana yake hajaridhika nawe,nae anahaki ya kupenda atakacho.Ukishindwa hapa tafuta pale😉
 
Back
Top Bottom