Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Salaaaaaaam.!
Hii imekaaje wakuu. Mwanamke akikutaka kwa kwa kukushawish aubkukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hatavkwa njia za kistaarab na kiungwana lazima ajenge chukinjuu yako.!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza jifunze kuandika mkuu then urudi hapa.
Na ofcourse ni mara chache sana mwanaume kupindua vocal ya mdada.
Sijui kwa nini!
As a man inabidi uwe na standards wao wamekuwa nani mpaka wasikataliweWee jinga sana. Utamkataliaje mwanamke?
As a man inabidi uwe na standards wao wamekuwa nani mpaka wasikataliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishawahi kuwakatilia 3,wa kwanza Darasa la 4,wa pili darasa la 7 na wa mwisho nipo mwaka wa 2 chuo.Salaaaaaaam.!
Hii imekaaje wakuu.! Mwanamke akikutaka kwa kukushawishi au kukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hata kwa njia za kistaarab na kiuungwana lazima ajenge chuki juu yako.!?
I second that,sio kila sehemu uchomeke dudu kuna wanawake hawafai hata kuongea nao daah najuta kuongea na pisi moja hivi ilinizushia nimeikula na nikawa nalia kama Simba zikafika mpaka ofisini wakiniona wananiita Simba 😁As a man inabidi uwe na standards wao wamekuwa nani mpaka wasikataliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba mla nyama[emoji23][emoji23]I second that,sio kila sehemu uchomeke dudu kuna wanawake hawafai hata kuongea nao daah najuta kuongea na pisi moja hivi ilinizushia nimeikula na nikawa nalia kama Simba zikafika mpaka ofisini wakiniona wananiita Simba [emoji16]