Kwanini mwanamke anachunika wakati wa kujamiiana?

Kwanini mwanamke anachunika wakati wa kujamiiana?

Mmmnh!!! Kuchunika?
Labda kama unalazimisha mkuu.
Ukiona hayo maeneo yamekuwa makavu wakati wa game weka poz kwanza then muandae tena.
 
Mapenz sio vita mkuu!Mapenz ukiyawekea mautundu hainaga masuala ya kuchuna uke Bali ni msisimko tu kama radha ya coca cola
 
Hachuniki ukiona hivyo haujui kufanya mapenzi na Mwanamke, ni kwamba ni lazima umuandae kwanza ndiyo uingize uume, yaani lazima uke uwe na maji maji kwanza ndiyo ishara ya kwamba yuko tayari, kinyume na hapo ni kubaka!
Si Kumu andaa Bali mkifanya tendo badae mnamaliza anasikia maumivu makali
 
Si Kumu andaa Bali mkifanya tendo badae mnamaliza anasikia maumivu makali

Hakuna kitu kama hicho, mwili wa Mwanamke umeumbwa kuchukuwa uume wowote ule, aidha utakuwa haukumuandaa vizuri au hakuwa tayari kisaikolojia au pia ana matatizo mengine, lkn kwa hali ya kawaida kama yuko poa na tayari huwa hakuna shida yoyote!
 
Akipima anaambiwa Ana UTI dozi anapewa anamaliza tatizo liko wap
 
Msubilie apoe usimfanyie haraka . Usije itaka k kwa pupaa
 
Kama ni ndani basi hyo bikra au kitu chako kimemzidi uwezo.
 
Mwanamke anaweza kuchanika wakati wa tendo na maumivu huwa anayasikia baada ya kumaliza tendo hilo, asilimia kubwa ya wanaochanika ni wale ambao walishazaa na kushonwa. Sehemu iliyoshonwa huwa inakuwa laini sana kiasi kwamba uke unapotanuka wakati mavituz yanapokolea inashindwa kuhimili na kuachia, na huko ndio kuchanika!
Asimilia nyingine iliyobaki inachangiwa na maumbile ya 'ke husika.
 
Si Kumu andaa Bali mkifanya tendo badae mnamaliza anasikia maumivu makali
Utakuwa unamsababishia michubuko kwa ndani inayotokana na maandalizi mabovu kuna kuwa hakuna ule ute wa kulainisha utokanao na hisia, au unamuumiza na madole unapo muandaa, au una pubic air ktk uume wako ndio yanamchubua. Au anaumwa ugonjwa flani ana vidonda kwa nadani hivyo unamtonesha unapolula tunda. Mwambie aende kwa gynocology (doctor wa mambo ya wanawake) atampima na kumpa ushauri.
 
Kama ni ndani basi hyo bikra au kitu chako kimemzidi uwezo.
Hakuna kuzidi uwezo ile kitu elastic sana. Inatanuka sana. Hapo kuna tatizo la maandalizi au jamaa unyasi umeota hadi kwenye dushe au hakuna hisia au kuna uambukizo ukeni.
 
Back
Top Bottom