charles matthew
Member
- Jun 29, 2015
- 19
- 2
Kwanini mwanamke huchunika ukeni wakati wa kujamiana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann mwanamke huchunika ukeni wakati wa kujamiana?
Si ivyo mwanamke anachunika ndani YA UKENI si njeMmmnh!!! Kuchunika?
Labda kama unalazimisha mkuu.
Si Kumu andaa Bali mkifanya tendo badae mnamaliza anasikia maumivu makaliHachuniki ukiona hivyo haujui kufanya mapenzi na Mwanamke, ni kwamba ni lazima umuandae kwanza ndiyo uingize uume, yaani lazima uke uwe na maji maji kwanza ndiyo ishara ya kwamba yuko tayari, kinyume na hapo ni kubaka!
Si Kumu andaa Bali mkifanya tendo badae mnamaliza anasikia maumivu makali
Akipima anaambiwa Ana UTI dozi anapewa anamaliza tatizo liko wapHakuna kitu kama hicho, mwili wa Mwanamke umeumbwa kuchukuwa uume wowote ule, aidha utakuwa haukumuandaa vizuri au hakuwa tayari kisaikolojia au pia ana matatizo mengine, lkn kwa hali ya kawaida kama yuko poa na tayari huwa hakuna shida yoyote!
Akipima anaambiwa Ana UTI dozi anapewa anamaliza tatizo liko wap
kwa uandishi huoo lazima hii iwe imekukuta mkuuKwanini mwanamke huchunika ukeni wakati wa kujamiana?
Utakuwa unamsababishia michubuko kwa ndani inayotokana na maandalizi mabovu kuna kuwa hakuna ule ute wa kulainisha utokanao na hisia, au unamuumiza na madole unapo muandaa, au una pubic air ktk uume wako ndio yanamchubua. Au anaumwa ugonjwa flani ana vidonda kwa nadani hivyo unamtonesha unapolula tunda. Mwambie aende kwa gynocology (doctor wa mambo ya wanawake) atampima na kumpa ushauri.Si Kumu andaa Bali mkifanya tendo badae mnamaliza anasikia maumivu makali
Hakuna kuzidi uwezo ile kitu elastic sana. Inatanuka sana. Hapo kuna tatizo la maandalizi au jamaa unyasi umeota hadi kwenye dushe au hakuna hisia au kuna uambukizo ukeni.Kama ni ndani basi hyo bikra au kitu chako kimemzidi uwezo.