Raia mpya
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 673
- 1,915
Ndugu zangu nitawasalimia baadae kuna swali najiuliza, hivi inakuaje mwanamke yupo tayari kutembea na mume wa mtu ila siyo yule aliye single?
Yaani unakuta anaongozwa na jamaa ana mke wake au mpenzi wake na huyo mwanamke anajua kabisa kama jamaa ana mtu na anakubali. Ila sasa nenda wewe ambaye upo single atakukataa katakata!
Hivi kwanini wapo hivi? Kwanini asimkubali aliye single ili waanzishe mahusiano yao?