Stephan Lichtsteiner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 520
- 1,476
Stress za mapenzi hakuna wakitoka na waume za watu mana hawabanwi hovyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Waume za watu, hawana zile za mapenzi ya form two, sujui umekula, upo wapi, unafanya nini etcNdugu zangu nitawasalimia baadae kuna swali najiuliza, hivi inakuaje mwanamke yupo tayari kutembea na mume wa mtu ila siyo yule aliye single?
Yaani unakuta anaongozwa na jamaa ana mke wake au mpenzi wake na huyo mwanamke anajua kabisa kama jamaa ana mtu na anakubali. Ila sasa nenda wewe ambaye upo single atakukataa katakata!
Hivi kwanini wapo hivi? Kwanini asimkubali aliye single ili waanzishe mahusiano yao?
NDIO, JIJENGE KWANZA KIUCHUMI.Aah sawa sawa so point ni kuwa na hela kwanza sio?