So point ni hela ila mbona kuna watu mtaani hata kaz hawana ila wanatoka na wake za watuMara nyingi Wanaume waliooa au wenye wapenzi Wana hela kuliko Single Ndiyo Maana wanawake wanajishikiza kwao.
Tafuta Hela
Aah sawa sawa so point ni kuwa na hela kwanza sio?Wanaume waliooa wengi vipato vipo vizuri,akili komavu alafu hawana stress za nyege kukazana kwa kukomoa..
Vivyo hivyo ni kinyume kwa hawa vijana single. So Dada zetu wanajiongeza na wenyewe kwepesi wapi hapo
Ndiyo, Point kubwa ni hela. Lakini Kuna point ndogo ndogo zinazowasaidia wasio na hela kutembea na wake za watuSo point ni hela ila mbona kuna watu mtaani hata kaz hawana ila wanatoka na wake za watu
Mpango mzimaAah sawa sawa so point ni kuwa na hela kwanza sio?
Dah aisee sawa nimekuelewaWanaume wenye vigezo ambavyo wanawake wote wanavitaka wapo wachache sana.
Mwanaume mwenye Hela na status ni ndoto ya kila mwanamke. Wanaume hao wengi wao wameshaoa tayari.
Mfano ni ngumu kwa mwanamke yeyote kumkataa Mo dewji kwa sababu Mo dewji ni mume wa mtu. Sababu kuu ni Pesa na Status ya Mo dewji
Kila kazi inahitaji mtu mwenye "experience" Nadhani umenielewa 😎😎Ndugu zangu nitawasalimia baadae kuna swali najiuliza, hivi inakuaje mwanamke yupo tayari kutembea na mume wa mtu ila siyo yule aliye single?
Yaani unakuta anaongozwa na jamaa ana mke wake au mpenzi wake na huyo mwanamke anajua kabisa kama jamaa ana mtu na anakubali. Ila sasa nenda wewe ambaye upo single atakukataa katakata!
Hivi kwanini wapo hivi? Kwanini asimkubali aliye single ili waanzishe mahusiano yao?
Sawa kabisa,ndio maana unaweza ukamla yeye, Mdogo wake au dada yake,mama yake, rafiki yake,binamu yake,wifi yake nk.Mwanamke mara nyingi huwa anapenda kitu ambacho mwanamke mwenzake anakipenda.
Ndio maana ni rahisi kupata mwanamke kama una mahusiano tayari na ni ngumu kama huna, sababu anakua na wasiwasi kama wenzake hawakupendi maana yake hauna cha maana.
Social Proof In Women.
UKWELI MGUMUMwanamke mara nyingi huwa anapenda kitu ambacho mwanamke mwenzake anakipenda.
Ndio maana ni rahisi kupata mwanamke kama una mahusiano tayari na ni ngumu kama huna, sababu anakua na wasiwasi kama wenzake hawakupendi maana yake hauna cha maana.
Social Proof In Women.