Kwanini mwanamke hukubali kutoka na mume wa mtu badala kumkubali ambaye hana mpenzi?

1. Waume za watu, hawana zile za mapenzi ya form two, sujui umekula, upo wapi, unafanya nini etc
2. Waume za watu wana familia hivyo somehow they are ok kifedha.
3. Waume za watu hawapendi kujionyesha kuwa anamgonga nani.
 
Mume wa mtu sumu, tuheshimu hilo mimi na huu wivu ndiyo nijue kabisa kuna mke wake aah hapana kabisaa, tatizo kuna wengine hawasemi kama wana familia anaweza akakusha tu, ukaja kujua ishakua too late😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…