kwa nini tufanye hivyo wakati wao hawakuuziwa na bunge? kwani bunge lilipotunga liliwauzia? wanachotakiwa kufanya ni kuuza ila kwa upande mwingine, zile softcopy waweke mtandaoni watu wapate haki ya kuzipata, wawe wanasheria na wasio wanasheria, sheria zinapotungwa zinatugwa kwa ajili ya raia wote hadi wasio wanasheria, kuweka vizingiti vya kuzipata ni kuwanyima haki. Bunge lilitunga, likawapatia bila kuwauzia, wao wanatafuta kupata faida tena kwa pesa ya serikali, production ya vitabu hivyo ilitumia kodi zetu na wanatuuzia sisi wenyewe tena.
ile 2022 R.E walisambaza mtandaoni bure, na ni lazima wafanye hivyo kwa sababu walipokuwa wanahuisha walikaa vikao wakilipwa posho za kodi zetu, wakaenda kuprint kwa kodi zetu, na wanataka kutuuzia sisi wenyewe. pamoja na kukubali ukweli kwamba production ya hardcopy imetumia pesa, lakini kwanini ufanyie biashara kodi yetu wakati hukutunga wewe hizo sheria? si wizi huo? au kuna pato anakula na mkuki na nyota kutoa hizo copy? hizo sheria kwenye hardcopy siku zote hata kama zipo wenye uwezo kununua huwa ni mashirika, ofisi za umma kama mahakama, DPP na lawfirms kubwa. raia na wanasheria wachanga wanazihitaji na hawatakiwi kunyimwa kwa kigezo cha pesa. kwa hiyo wakienda mahakamani watakuwa wanarefer wapi sasa? kwenye sheria ambazo hawajasambaziwa? kwani Bunge likitunga sheria si huwa linasambaza bure kwa raia wake? na kama hardcopy unachangia tu na wakati huo huo soft copy hawakunyimi.Ni bei fair, lakini kwa kweli mawakili wengi hawawezi mudu, ni vyema pdf iwepo pia.
Nakupata mkuu. Mimi mwenyewe nipo kwenye tasnia na bei hiyo siimudu.ile 2022 R.E walisambaza mtandaoni bure, na ni lazima wafanye hivyo kwa sababu walipokuwa wanahuisha walikaa vikao wakilipwa posho za kodi zetu, wakaenda kuprint kwa kodi zetu, na wanataka kutuuzia sisi wenyewe. pamoja na kukubali ukweli kwamba production ya hardcopy imetumia pesa, lakini kwanini ufanyie biashara kodi yetu wakati hukutunga wewe hizo sheria? si wizi huo? au kuna pato anakula na mkuki na nyota kutoa hizo copy? hizo sheria kwenye hardcopy siku zote hata kama zipo wenye uwezo kununua huwa ni mashirika, ofisi za umma kama mahakama, DPP na lawfirms kubwa. raia na wanasheria wachanga wanazihitaji na hawatakiwi kunyimwa kwa kigezo cha pesa. kwa hiyo wakienda mahakamani watakuwa wanarefer wapi sasa? kwenye sheria ambazo hawajasambaziwa? kwani Bunge likitunga sheria si huwa linasambaza bure kwa raia wake? na kama hardcopy unachangia tu na wakati huo huo soft copy hawakunyimi.
sasa kwa fununu tu ni kwamba, baadhi ya sheria kuna replacement ya vifungu, hizo ulizozizoea sasaivi sivyo zitakavyokuwa, vifungu vimebadilika kwenye hiyo RE 2023. how can you make a reference in court unapofanya argument wakati wamekuficha? atakayekuwa anazo ni Mahakama, Mawakili wa serikali na wanasheria wakubwa kwa sababu walikuwa na uwezo kununua.Nakupata mkuu. Mimi mwenyewe nipo kwenye tasnia na bei hiyo siimudu.
TLS chini ya Mwambukusi wasimame nalo hili.sasa kwa fununu tu ni kwamba, baadhi ya sheria kuna replacement ya vifungu, hizo ulizozizoea sasaivi sivyo zitakavyokuwa, vifungu vimebadilika kwenye hiyo RE 2023. how can you make a reference in court unapofanya argument wakati wamekuficha? atakayekuwa anazo ni Mahakama, Mawakili wa serikali na wanasheria wakubwa kwa sababu walikuwa na uwezo kununua.