Unatambua majukumu ya AG kikatiba? au unataka kuwa wabunge walikuwa wanamjadili Mbowe badala ya mkatabaMbona Mimi sijiulizi Hilo swali?
Ifike wakati watanzania tuache ujuaji kwenye kila kitu, tunahitaji mabadiliko kwenye sekta zetu sio hizi janja janja za kila siku
Mbona Mimi sijiulizi Hilo swali?
Ifike wakati watanzania tuache ujuaji kwenye kila kitu, tunahitaji mabadiliko kwenye sekta zetu sio hizi janja janja za kila siku
Hahahah.. Umegeuza kichwa kuwa mfuniko wa shingo.Mbona Mimi sijiulizi Hilo swali?
Ifike wakati watanzania tuache ujuaji kwenye kila kitu, tunahitaji mabadiliko kwenye sekta zetu sio hizi janja janja za kila siku
😀Ni kufunika kombe tu haya yapiteHahahah.. Umegeuza kichwa kuwa mfuniko wa shingo.
Unadhani hao waliopitisha hawafahamu majukumu ya attorney general?Unatambua majukumu ya AG kikatiba? au unataka kuwa wabunge walikuwa wanamjadili Mbowe badala ya mkataba
Hakuna namna tunaendela kuadhibiwa Kwa mizizi iliyoota huko nyumaUnadhani yeye hajisikii vibaya kwa utopoli ule? Nafsi inamsuta asee nae ni binadamu. Ma system tu yamembana ila wengi deep inside wanaumia
Jibu Zima lipo kwenye Ile hotuba ya Waitara. Bila kujali content mjadala ni wa mama, ni wa CCM lazima upite iwe jua iwe mvua!!
Mabadiliko gani utayapata bila kupaza sauti na kuhoji mambo msingi? au hayo mabadiliko unaletewa tu kama zawadi ya birthday?Mbona Mimi sijiulizi Hilo swali?
Ifike wakati watanzania tuache ujuaji kwenye kila kitu, tunahitaji mabadiliko kwenye sekta zetu sio hizi janja janja za kila siku
Hata hapa hakuruhusiwa kufika wala kujua kinachosaini mkuiMOJA ya jukumu kubwa la kikatiba la Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali wanalojiuliza watanzania wote miijini na vijijini ni kwanini siku ya tarehe 10 Juni 2023 wakati wa kupitisha Azimio hilo Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuwepo bungeni.
Wataalamu tusaidiane uelewa.