Kwanini Mwandishi Yerico Nyerere anaamini Mwigulu amefeli katika mipango na sera za kiuchumi?

huyo sio muandish acha kudharau taaluma za watu, huyo muite chawa kichefuchefu wa mbowe..
 
huyo jamaa anaandika kwa vigezo vya mapenzi ya chama anachokipenda,hajui uchumi ni nini
 
Uchumi sio mwigulu balina.yeye ana.team ya.wachumi lakini pia yeye.anafuata upepo wa aliyemteua anataka nini.

Ila huyo.yericko ni another Peter Bergen wanna be hana anachojua zaidi ya.kushinda youtube na ku google.

Mwenye proffessional cv ya.yericko aiweke tuone ana substance ya.kutoa porojo anazotoa
 
Mimi naongelea wajasiriamali siyo wale wenzi wenzio wa mali za umma, siku ukifa hao watoto wako watarithi hivyo vyeti vyako vya uchumi au watataka mali? acha na theory twende kwenye practical.
 
embu tuwekee hyo makala yake tuweze kukupa majibu
 
Takwimu tunazotoa na hali halisi mtaani havishabihiani hivyo kunakua na mkanganyiko hata namna uchumi wetu unavyokua
 
Kuna tofauti sana kati ya Manager na Leader - big big difference
Kwa hiyo hata wewe hujaelimika. Lipumba anaweza kuwa good Manger lakini siyo leader
A leader innovate, inspire, create etc etc
Leader anamtumia Manager
 
Vyote ni tatizo
 
Leteni mambo ya maana tujadiri. huyo chemba alitumbuliwa na jpm
kwa sababu kichwani hamna kitu ataweza vipi kusimamia uchumi ukakua na kuimarika?
 
Kuna tofauti sana kati ya Manager na Leader - big big difference
Kwa hiyo hata wewe hujaelimika. Lipumba anaweza kuwa good Manger lakini siyo leader
A leader innovate, inspire, create etc etc
Leader anamtumia Manager
Huyo Yeriko anayependa kutumia majina ya watu, anajua economic ipi? Macro au micro. Anaongea uozo mtupu.
 
Mimi naongelea wajasiriamali siyo wale wenzi wenzio wa mali za umma, siku ukifa hao watoto wako watarithi hivyo vyeti vyako vya uchumi au watataka mali? acha na theory twende kwenye practical.
Vyeti vya vyuo ndio habari ya mjini. Hatuwezi kudharau usomi kwa sababu za, kipumbabu.
 
Digrii ni maisha yako. Tangu huyu Joker ashike maisha yako yamekuwa mazuri au yamezidi kuporomoka? Mwigulu ameshindwa, wala hajui, hata kuitia thamani pesa yetu. Hivi karibuni shilingi ya Uganda itakuwa valuable kuliko ya Tanzania. Kuna mtu hapo?
 
Siyo kweli!! Kila MTU na uelewa wake wa maisha na upambanaji wake. Kwa hiyo ukipata vipesa tu mjini basi unajua uchumi? Sio kweli. Nyie ndio darasani mlikuwa mnaaminisha watu kuwa somo fulani ni gumu Sana. Kwa kuwa tu ww linakushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…