Kwanini Mwandishi Yerico Nyerere anaamini Mwigulu amefeli katika mipango na sera za kiuchumi?

huyo sio muandish acha kudharau taaluma za watu, huyo muite chawa kichefuchefu wa mbowe..
 
Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha.

Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.

Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?
huyo jamaa anaandika kwa vigezo vya mapenzi ya chama anachokipenda,hajui uchumi ni nini
 
Uchumi sio mwigulu balina.yeye ana.team ya.wachumi lakini pia yeye.anafuata upepo wa aliyemteua anataka nini.

Ila huyo.yericko ni another Peter Bergen wanna be hana anachojua zaidi ya.kushinda youtube na ku google.

Mwenye proffessional cv ya.yericko aiweke tuone ana substance ya.kutoa porojo anazotoa
 
Inaonekana umesomea shule za kata. Sio rahisi katika hii dunia kufanya analysis za uchumi bila kujua theory zake. Huyo Bakheresa baada ya kuwa, mkubwa kwa sasa,ana wanauchumi wake wa makaratasi wanaojua theory za uchumi na wanaoweza kuelewana na wanauchumi wa dunia hii.

Halafu ndugu yangu inaonekana huna weledi kabisa kuhusu elimu ya uchumi. Unasema Musukuma na Lipumba, kwamba Musukuma kwa kuwa ana fedha basi anajua uchumi kuliko Lipumba. Huo ni Umbumbumbu wa hali ya juu Sana. Lipumba ni Prof wa uchumi na alishatumika mpaka Uganda kwa Museveni. Anajua vizuri theory za uchumi.

Nilivyokuelewa ni kwamba hata ukiiba na kuwa na matrion ya pesa basi unajua uchumi. Mfano :Kuna watu wana mabilion ya pesa, wameiba serikalin kwa, hiyo hao wanajua uchumi kuliko Lipumba . Huo ni Umbumbumbu.
Mimi naongelea wajasiriamali siyo wale wenzi wenzio wa mali za umma, siku ukifa hao watoto wako watarithi hivyo vyeti vyako vya uchumi au watataka mali? acha na theory twende kwenye practical.
 
Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha.

Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.

Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?
embu tuwekee hyo makala yake tuweze kukupa majibu
 
Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha.

Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.

Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?
Takwimu tunazotoa na hali halisi mtaani havishabihiani hivyo kunakua na mkanganyiko hata namna uchumi wetu unavyokua
 
Inaonekana umesomea shule za kata. Sio rahisi katika hii dunia kufanya analysis za uchumi bila kujua theory zake. Huyo Bakheresa baada ya kuwa, mkubwa kwa sasa,ana wanauchumi wake wa makaratasi wanaojua theory za uchumi na wanaoweza kuelewana na wanauchumi wa dunia hii.

Halafu ndugu yangu inaonekana huna weledi kabisa kuhusu elimu ya uchumi. Unasema Musukuma na Lipumba, kwamba Musukuma kwa kuwa ana fedha basi anajua uchumi kuliko Lipumba. Huo ni Umbumbumbu wa hali ya juu Sana. Lipumba ni Prof wa uchumi na alishatumika mpaka Uganda kwa Museveni. Anajua vizuri theory za uchumi.

Nilivyokuelewa ni kwamba hata ukiiba na kuwa na matrion ya pesa basi unajua uchumi. Mfano :Kuna watu wana mabilion ya pesa, wameiba serikalin kwa, hiyo hao wanajua uchumi kuliko Lipumba . Huo ni Umbumbumbu.
Kuna tofauti sana kati ya Manager na Leader - big big difference
Kwa hiyo hata wewe hujaelimika. Lipumba anaweza kuwa good Manger lakini siyo leader
A leader innovate, inspire, create etc etc
Leader anamtumia Manager
 
Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha.

Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika hivyo kushindwa kuvutia wawekezaji serious wenye malengo ya muda mrefu.

Je, tatizo ni Waziri wa fedha au tatizo ni mfumo wetu wa kisiasa?
Vyote ni tatizo
 
Leteni mambo ya maana tujadiri. huyo chemba alitumbuliwa na jpm
kwa sababu kichwani hamna kitu ataweza vipi kusimamia uchumi ukakua na kuimarika?
 
Kuna tofauti sana kati ya Manager na Leader - big big difference
Kwa hiyo hata wewe hujaelimika. Lipumba anaweza kuwa good Manger lakini siyo leader
A leader innovate, inspire, create etc etc
Leader anamtumia Manager
Huyo Yeriko anayependa kutumia majina ya watu, anajua economic ipi? Macro au micro. Anaongea uozo mtupu.
 
Mimi naongelea wajasiriamali siyo wale wenzi wenzio wa mali za umma, siku ukifa hao watoto wako watarithi hivyo vyeti vyako vya uchumi au watataka mali? acha na theory twende kwenye practical.
Vyeti vya vyuo ndio habari ya mjini. Hatuwezi kudharau usomi kwa sababu za, kipumbabu.
 
Watanzania tusihamini na kupotoshwa na kila tunachosoma kilichoandikwa na wasomi uchwara,kabla ya kumuhukumu Mwigulu.

Tujiulize ukweli kuhusu huyu Yeriko, je ana elimu sahihi ya kutueleza kuhusu uchumi ? (Economics).Au ndio hizi elimu za hapa na pale zisizoeleweka?

Ni kweli Dr Mwigulu ana mapungufu kwenye utendaji, lakin je huyu Yeriko anajua economics vizuri na ana weledi?
Hoja ya kwanza ni kutaka kujua je Yeriko ana degree ya uchumi? Au ana elimu ya hapa na pale tu? Huyu hata jina amefeki.
Digrii ni maisha yako. Tangu huyu Joker ashike maisha yako yamekuwa mazuri au yamezidi kuporomoka? Mwigulu ameshindwa, wala hajui, hata kuitia thamani pesa yetu. Hivi karibuni shilingi ya Uganda itakuwa valuable kuliko ya Tanzania. Kuna mtu hapo?
 
Siyo kweli!! Kila MTU na uelewa wake wa maisha na upambanaji wake. Kwa hiyo ukipata vipesa tu mjini basi unajua uchumi? Sio kweli. Nyie ndio darasani mlikuwa mnaaminisha watu kuwa somo fulani ni gumu Sana. Kwa kuwa tu ww linakushinda.
 
Back
Top Bottom