Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wanasema kuwa mwanga mwezi umeakisiwa kutoka kwenye jua. Lakini ukiakisi mwanga kwa kioo unakuwa na joto, mbona wa mwezi hauna joto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu, umeiweka kitaalamu sana. Ila hapo kuwa duniani hadi mwezini ni km 93m kweli?Kuna mambo manne hapa:
1. Kioo kinahakisi mwanga almost kwa 100% kwa hiyo hata joto linahakisiwa hivyo hivyo kwa 100%. Lakini uso wa mwezi sio kama kioo ni ardhi yenye udongo,miamba, nk kwa hiyo sio mwanga wote na joto lote linalohakisiwa. Ardhi ya mwezi inafyonza kiasi fulani cha mwanga na joto.
2. Si mwanga wote wa jua unahakisiwa kuelekea duniani, mwingine unapitiliza kwenda direction nyingine kwa sababu mwanga unapanuka kadri umbali inavyoongezeka. Pia mwezi una milima na mabonde kwa hiyo unahakisi mwanga kwenda direction tofauti tofauti.
3.Kumbuka kuwa joto la dunia linasababishwa na hewa ya carbon dioxide iliyopo kwenye hewa. Mwezi hauna hewa kwa hiyo hata ukiwa kwenye mwezi upande wa jua ni baridi kali sana. Kama mwezi haina joto utapataje joto la kutugawia sisi? Bila carbon dioxide duniani kungekuwa na baridi kama kwenye mwezi.
4. Pia kumbuka kwamba umbali kutoka kwenye mwezi hadi duniani ni wastani wa kilometa milioni 93!
Shukrani mkuu, umeiweka kitaalamu sana. Ila hapo kuwa duniani hadi mwezini ni km 93m kweli?