KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Hatizo ni ma CCM maana Kirumba iko chini yao na hawako tayari kuiboresha!View attachment 3289939View attachment 3289940
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni central ya mikoa ya kanda ya ziwa
4.Mwanza pekee ndio jiji lenye stendi mbili za mabasi pia uwepo wa usafiri wa aina zote ndege,bus,Maji na kadhalika.
5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.
Capacity ya uwanja watu elfu 70.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na iitwe fish stadium 🏟
Acha mbwembwe lile gofu tunahitaji uwanja wa umma nani alikwambia wanaunga mkonoTutaomba pesa kwenye Bajeti ya Serikali ya 2025/2026 ili tuboreshe CCM Kirumba Stadium! Na hili kila mwana Mwanza analiunga mkono. Uwanja upo katikati ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela. Jirani kuna Rock City Mall na View nzuri ya Ziwa Victoria. CCM Kirumba Stadium kwakweli inatosha!
Tatizo nini hapo? Uwanja wa Arsenal wa Emirates umezungukwa na biashara kibao. Umeacha kuwa Uwanja? Kama gereji zinakukera bali unataka Villa Park irudi ili upate madada poa kwa bei poa, sawa tu itarudi. Mteja ni mfalme!Uwanja ulio zungukwa na magereji huo ni uwanja au soko
Kuna Timu yakuchezea na kuutunza ? Mfano Brazil walijenga viwanja viingi ili vingine vimekuwa parking ya Magari Sababu kuu hakuna Timu za kuuchezeaView attachment 3289939View attachment 3289940
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni central ya mikoa ya kanda ya ziwa
4.Mwanza pekee ndio jiji lenye stendi mbili za mabasi pia uwepo wa usafiri wa aina zote ndege,bus,Maji na kadhalika.
5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.
Capacity ya uwanja watu elfu 70.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na iitwe fish stadium 🏟
Kuna Timu yakuchezea na kuutunza ? Mfano Brazil walijenga viwanja viingi ili vingine vimekuwa parking ya Magari Sababu kuu hakuna Timu za kuuchezea
Wana Tim Ndio maana uko hivo ,umeelewa nachokiongea mfano Uwanja WA Jamhuri Morogoro uko central ya mji ila kwakuwa hakuna Tim yakuelewaka kuuchezea Uwanja hauna matunzo sahihiKwa hiyo Dodoma na Arusha waweze kuutunza na kupata timu ya kuchezea harafu Mwanza mji mkubwa ukose? Acha utoto!
Kwahiyo Mwanza Hakuna TimuWana Tim Ndio maana uko hivo ,umeelewa nachokiongea mfano Uwanja WA Jamhuri Morogoro uko central ya mji ila kwakuwa hakuna Tim yakuelewaka kuuchezea Uwanja hauna matunzo sahihi
Yeah mkuu, mawazo yangu kama yako. Kirumba ifumuliwa isukwe vyema kiwe kiwanja kikaliiiiiTutaomba pesa kwenye Bajeti ya Serikali ya 2025/2026 ili tuboreshe CCM Kirumba Stadium! Na hili kila mwana Mwanza analiunga mkono. Uwanja upo katikati ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela. Jirani kuna Rock City Mall na View nzuri ya Ziwa Victoria. CCM Kirumba Stadium kwakweli inatosha!
Rudia kusoma nilichoandikaKwahiyo Mwanza Hakuna Timu
Sawa Mkuu. Kwanini tujenge kingine ingali hiki kipo? Kiboreshwe tu!Yeah mkuu, mawazo yangu kama yako. Kirumba ifumuliwa isukwe vyema kiwe kiwanja kikaliiiii
Kuna hoja hapa
Mashindano ya AFCON , Mwanza ilitakiwa ipewe nafasi
1. Dodoma- Capital na ni njia mojawapo ya kuendeleza Jiji. Inafikika na watu wa kanda zote
2. Dar es Salaam- Hii inaeleweka kwanini! Jiji la Biashara
3. Arusha- Jiji kubwa na makao makuu ya EA. Kuna utalii
4. Zanzibar- Aman inaingiza watu 30,000, imepewa kwasababu ya Muungano! na kwa gharama za Mwanza
Kwanini Mwanza
n.k.
- Idadi ya watu wanaoweza kujaza Uwanja hata kufikia 100,000
- Imekaa vizuri kufikika kutoka Kisumu, Kampala, Bujaumbura, Kigali hata DRC
JokaKuu @