KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
- Thread starter
-
- #21
Pamba sio team ndugu mbona V8 zinahudumiwa sembuse kiwanja thinking capacityKuna Timu yakuchezea na kuutunza ? Mfano Brazil walijenga viwanja viingi ili vingine vimekuwa parking ya Magari Sababu kuu hakuna Timu za kuuchezea
Dodoma naelewa, kwamba, ni Capital city kunahitajika ''infrastructure'' isije ikawa yale ya uwanja wa Taifa kabla ya BWM..badala ya Dodoma wangepeleka mashindano Mwanza.
..pia Mwanza inastahili uwanja wa ndege wenye hadhi ya kimataifa.
uNataka kusema Brazil hawana uwezo wakuhudumia Uwanja kwa thinking capacity yakoPamba sio team ndugu mbona V8 zinahudumiwa sembuse kiwanja thinking capacity
Huo uwanja utasaidia kupunguza umasikini kwa wananchi? tena wa haoo hapo mwanza? Mbona Taifa limejaaa wajinga hivi? kwa hio kwa akili zako unaona viwanja vya mpira ni kipa umbele cha maana sana, Nchi ina pimbi wengi sanaView attachment 3289939View attachment 3289940
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni central ya mikoa ya kanda ya ziwa
4.Mwanza pekee ndio jiji lenye stendi mbili za mabasi pia uwepo wa usafiri wa aina zote ndege,bus,Maji na kadhalika.
5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.
Capacity ya uwanja watu elfu 70.
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Na iitwe fish stadium π
Ase nyie watu mna mawazo ya kizamani why kukarabati uwanja wa chama cha siasa kwa Fedha za umma.Sawa Mkuu. Kwanini tujenge kingine ingali hiki kipo? Kiboreshwe tu!
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa Tanzania na hata ukitafuta mbia au mwenza wa biashara ukimwambia kuna jiji kama Mwanza na ina watu wa kutosha atachosema akilini mwake ni fursa na rasilimali watu.Kama uligundua JIWE aliipenda sana Mwanza alianzisha Miradi mingi sana hata SGR bila kufosi isingefika Mwanza...Kwa muhula huu wa Kizimkazi Mwanza itapata tabu sanaa yaani hasa uwaambie swala la Uwanja hawawezi kuelewa zaidi watatoa 100M uwanja upigwe rangi ya bendera za TZ alafu ndio imeisha iyo
Mkuu kwa heshima zote nakuomba ujifunze kupanua Mawazo yako.Huo uwanja utasaidia kupunguza umasikini kwa wananchi? tena wa haoo hapo mwanza? Mbona Taifa limejaaa wajinga hivi? kwa hio kwa akili zako unaona viwanja vya mpira ni kipa umbele cha maana sana, Nchi ina pimbi wengi sana
Hoja yako imekaa kitamaa tamaa sana na si kimipango. Serikali Ina watalaamu wa kila aina. Hadi hivyo Viwanja vinajegwa kwenye hayo maeneo si kwa BAHATI mbaya.View attachment 3289939View attachment 3289940
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni central ya mikoa ya kanda ya ziwa
4.Mwanza pekee ndio jiji lenye stendi mbili za mabasi pia uwepo wa usafiri wa aina zote ndege,bus,Maji na kadhalika.
5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.
Capacity ya uwanja watu elfu 70.
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Na iitwe fish stadium π
Hivi viwanja wapewe sekta binafsi ambayo ina mtaji mkubwa na Mawazo makubwa au viendeshwe kwa ubia kati ya serikali na wawekezaji.Ase nyie watu mna mawazo ya kizamani why kukarabati uwanja wa chama cha siasa kwa Fedha za umma.
Location ya kirumba ni mbovu sana kuna eneo tamu la sabasaba Karibu na mbao pale eneo la TBC pawekwe kiwanja good location kabisa ila kwa akili zenu.
Hiyo hotel ya nyota tano una fedha za kuingia kupata huduma humo au unataka sehemu ya kupiga picha? Uwanja uliokuwepo unatosha sana mbona? Au una timu yako imekatazwa kutumia uwanja uliokuwepo? Kila mkoa ni muhimu kwahiyo na sisi huku Ruvuma tuseme je?Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa Tanzania na hata ukitafuta mbia au mwenza wa biashara ukimwambia kuna jiji kama Mwanza na ina watu wa kutosha atachosema akilini mwake ni fursa na rasilimali watu.
Hivyo Mwanza yahitaji hoteli moja ya Nyota tano, uwanja wa ndege wa kimataifa, uwanja wa kisasa wa michezo na vitega Uchumi vingine vya maana.
Ndio hilivyo kwa namna nyingine naona kama wanakwamisha ili wapate waoHivi viwanja wapewe sekta binafsi ambayo ina mtaji mkubwa na Mawazo makubwa au viendeshwe kwa ubia kati ya serikali na wawekezaji.
Ingekuwa amri yangu hivyo viwanja wangepewa halmashauri waviendeshe maan viwanja hivyo Kirumba, Sokoine, Jamhuri na vingine vina hali mbaya sana.
Mwanza tunahitaji football stadium na arena ya matamasha ndio hivyo.Hiyo hotel ya nyota tano una fedha za kuingia kupata huduma humo au unataka sehemu ya kupiga picha? Uwanja uliokuwepo unatosha sana mbona? Au una timu yako imekatazwa kutumia uwanja uliokuwepo? Kila mkoa ni muhimu kwahiyo na sisi huku Ruvuma tuseme je?
Mkuu, hao wataalam wako wapi?Hoja yako imekaa kitamaa tamaa sana na si kimipango. Serikali Ina watalaamu wa kila aina. Hadi hivyo Viwanja vinajegwa kwenye hayo maeneo si kwa BAHATI mbaya.
Ningekuona una maana kama ungeomba serikali iboreshe pembejeo za kilimo na wavuvi kupatiwa Zana bora za uvuvi kwaajili ya kusaidia maendeleo ya wananchi.Au hata mngeomba vyuo vya veta kuongezewa fedha na kuboresha vilivyopo ili vipokee vijana wengi kutoka vijiji vya kanda ya ziwa na siyo kulilia viwanja kama vile utakula mpira.
Uvuvi na kilimo kwanza. Watu watakula hiyo Arena?Mwanza tunahitaji football stadium na arena ya matamasha ndio hivyo.
π₯π₯π₯π₯π₯π
Waende VETA πMkuu, hao wataalam wako wapi?
Hivi wafahamu kwanini sekta ya michezo kwa mfano sasa hivi imebadilika?
Yaani twaona wasichana, walemavu wakishiriki michezo na wasicha sasa wacheza mpira na ni kama ajira.
Huu ni mkakati kwamba Vijana kupata ajira huwa ni tatizo na ukiliachia laweza kuleta matatizo kwenye jamii iliyopo.
Ndo maana twaona hata wasichana huko Ulaya wacheza mpira mpaka ule wa Champions league kwani unakuza vipaji, kukuza Uchumi na pia kusaidia Vijana na jamii kujikwamua kiuchumi.
Huko ndiko kufikiria nje ya boksi.
Sasa hapa Tanzania Vijana walalamika hawana ajira ni hili ni jeshi hili ambalo sasa lapoteza nguvu nyingi kwenye mambo yaso na maana.
Mtu ajitokeza asema waende VETA lakini asahau, huyu Kijana akimaliza VETA ana uhakika wa kupata ajira?
Tutakula kwa kuuza vitu wakati wa match na kufanya usafilishaji watu.Uvuvi na kilimo kwanza. Watu watakula hiyo Arena?
Ndiyo maana nasema hamasisha vijana hapo kijijini kwenu angalau waende veta kuliko kulilia na kulalama kwa vitu ambayo hata visipo kuwepo haitakuwa na athari kwa wananchi. Bado tunategemea kilimo na Uvuvi kuendesha maisha yetu ya kila siku.Mkuu, hao wataalam wako wapi?
Hivi wafahamu kwanini sekta ya michezo kwa mfano sasa hivi imebadilika?
Yaani twaona wasichana, walemavu wakishiriki michezo na wasicha sasa wacheza mpira na ni kama ajira.
Huu ni mkakati kwamba Vijana kupata ajira huwa ni tatizo na ukiliachia laweza kuleta matatizo kwenye jamii iliyopo.
Ndo maana twaona hata wasichana huko Ulaya wacheza mpira mpaka ule wa Champions league kwani unakuza vipaji, kukuza Uchumi na pia kusaidia Vijana na jamii kujikwamua kiuchumi.
Huko ndiko kufikiria nje ya boksi.
Sasa hapa Tanzania Vijana walalamika hawana ajira ni hili ni jeshi hili ambalo sasa lapoteza nguvu nyingi kwenye mambo yaso na maana.
Mtu ajitokeza asema waende VETA lakini asahau, huyu Kijana akimaliza VETA ana uhakika wa kupata ajira?
Yes, wawahimiza Vijana waende VETA lakini VETA ipo tangu ilipoanzishwa ila mtu akifuzu anakuwa hana uhakika wa ajira.Waende VETA π