Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

Ase nyie watu mna mawazo ya kizamani why kukarabati uwanja wa chama cha siasa kwa Fedha za umma.

Location ya kirumba ni mbovu sana kuna eneo tamu la sabasaba Karibu na mbao pale eneo la TBC pawekwe kiwanja good location kabisa ila kwa akili zenu.
Hata hapo Sabasaba paliwekwa Sabasaba na haohao unaowadharau.
 
Tatzo kichwa chako sio cha michezo unaforce tu. Sisi wanamichezo tunahitaji Stadium
 
Tatzo kichwa chako sio cha michezo unaforce tu. Sisi wanamichezo tunahitaji Stadium
Basi acha kelele Ita hao wanamichezo wenzako hapo kijiweni jengeni Arena kubwaaaa, uwanja wa mpira mkubwa kuliko wa dar na hotel ya nyota tano hapo mtakuwa mmeonyesha uwanamichezo wenu kwa vitendo vinginevyo tulia.
 
Hapana najua uwanja ukijengwa ata wewe mkulima utakuja kuangalia mechi acha ubinafsi.
Pia unaweza ona ni kelele ila siku ukijengwa utaenda na ww kutazama mechi.

Watu ambao awawezi kuona mbele, kwa sasa Mwanza tumechelewa kuwa na kiwanja tunahitaji Stadium na arena full stop
 
Basi acha kelele Ita hao wanamichezo wenzako hapo kijiweni jengeni Arena kubwaaaa, uwanja wa mpira mkubwa kuliko wa dar na hotel ya nyota tano hapo mtakuwa mmeonyesha uwanamichezo wenu kwa vitendo vinginevyo tulia.
Ambacho leo kimeboost Tanzania kujulikana ni football ila watu atutaki kuwekeza uko bado mawazo ya ujima yapo kichwani.
 
Ambacho leo kimeboost Tanzania kujulikana ni football ila watu atutaki kuwekeza uko bado mawazo ya ujima yapo kichwani.
We ndiyo mwenye ujima. Haya na WACHINA waseme nini? Ungekua na hoja kiwanda au elimu/ujuzi wa kujitegemea kwa vijana ungeonekana wa maana na si kulilia Arena.
 
Nitasikitika sana siku Mwanza ikitangulia kupata uwanja wa kisasa kabla ya Mbeya. Ccm ni kama wameufumbia macho huu mkoa bora kabisa kisoka nje ya Dar
 
Nitasikitika sana siku Mwanza ikitangulia kupata uwanja wa kisasa kabla ya Mbeya. Ccm ni kama wameufumbia macho huu mkoa bora kabisa kisoka nje ya Dar
Pia mbeya mpo vzuri sana nawapa salute ila tunahitaji wote coz kodi tunatoa sisi
 
Priority sahihi kabisa kwa Mwanza ni network ya barabara zake..kuliko hata lile daraja lao.

Ujenzi wa kiwanja cha kisasa cha mpira Chenye capacity unayotaka ni around bilioni 600 Tshs.

Hiyo fedha ukii-alocate kwny lami utapata takribani kilometers zaidi ya 500.
Kwa urefu huo barabara zote za jiji zitakuwa lami tupu kama Dodoma au kuzidi..na zile za outskirts kama misungwi nk.

Watu wasichokijua ni kwamba Mwanza hiyohiyo haina mji kwny baadhi ya viunga vyake.
 
Utawala wa Samia unatutenga sana sisi wa Kanda ya ziwa
 
Maji tu shiida na ziwa liko hapo sembuse uwanja
 
Na Hawa Wazalendo wa purple nation wasemaje? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DH6Rp9poX3M/?igsh=aWJvenJzb2c4Z3Y4
 
Au siyo? 😁😁 Pre GE2025 - Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…