Sasa unataka twende kivingine, na kama unajuwa historia yangu humu huwa sipungukiwi na mambo ya aina hiyo.Problem with wabongo bwana, swali linajibiwa na swali si jibu. Hii analogy i dont know imetokea wapi haha
Labda nikurahisishie, mwanza ika kipi unique that mikoa mingine haina that wa deserve kujengewa uwanja wa kisasa?
Kwa akili yako Mwanza imezidiwa nini na Arusha au Dodoma kwenye issue ya michezo?Problem with wabongo bwana, swali linajibiwa na swali si jibu. Hii analogy i dont know imetokea wapi haha
Labda nikurahisishie, mwanza ika kipi unique that mikoa mingine haina that wa deserve kujengewa uwanja wa kisasa?
Pamoja na kukubaliana na wewe juu ya uhitaji wa kiongozi wa ngazi hiyo mwenye ari ya kweli ya kuona maendeleo katika eneo lake, jukumu kubwa hasa ni viongozi kama wabunge, madiwani wa maeneo kama hayo wenye maono ya maendeleo katika eneo lao na kufanya juhudi za kuweka msukumo kila mahali panapotakiwa kuleta mabadilikoKwa mkuu wa mkoa Yule usitegemee kitu
Huyo mtu uliye mjibu inaonyesha hawezi kutumia akili zake mwenyewe kutambua mambo kama hayo uliyo yataja wewe, na mengi mengine tu iliyo nayo Mwanza.Kwa akili yako Mwanza imezidiwa nini na Arusha au Dodoma kwenye issue ya michezo?
Population na human capital ni kubwa Mwanza kuzidi Dodoma hata Arusha!
Mwanza ni Center ya Mikoa yote ya ukanda wa ziwa na Mwanza kupata mashabiki wa Nairobi,Kampala,Kigali na Bujumbura ni rahisi zaidi kuliko huko Arusha na Dodoma!
Hakuna viongozi katika eneo hilo kwa sasa wenye upeo kama huo unao uzungumzia wewe hapa. Hilo ndilo tatizo kubwa ililonalo Mwanza. Si Mkuu wa mkoa, wabunge, madiwani na hata ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uelewa wa maswala ya namna hiyo. Sana sana ni wachumia tumbo tu ambao wakisha tupiwa kimfupa binafsi wanasahau mambo yote mengine yanayo husu eneo lao la uongozi.Ni kweli Mwanza kwakua ni jiji la pili kwa ukubwa tz bara wanahitaji kiwanja cha mpira sema ndo hvyo wenzenu wa Arusha wamepata fursa kwa kuwa na hotel nyingi za kisasa. Watu wa mwanza sasa hv mngeomba brt au Tram kurahisisha usafiri kwenye jiji na kufanya jiji lenu liwe la kisasa zaidi.
Ndo kuna vipaji vya soka huko, ni ardhi iliyobarikiwa kwa kila kituMbeya vijana wa lime ardhi Ina rutuba haya mambo ya sijuwi timu timu hayatusaidii. Badala vijana walilie masoko ya bidhaa zao wanalilia timu.
En nkamuNdaga fijo 😁😂🔥
Nakupongeza kwa Hilo la barabara,Hatizo ni ma CCM maana Kirumba iko chini yao na hawako tayari kuiboresha!
Mwanza barabara hovyo sana na hakuna anayejali!
Umesoma nilichoandika mwanzoni? Unadhan serikal inaweka kiwanja kama hiko sababu arusha ni znuri kikichezo? Unadhan serikal inapeleka dodoma sababu dodoma ni nzuri kwa michezo?Kwa akili yako Mwanza imezidiwa nini na Arusha au Dodoma kwenye issue ya michezo?
Population na human capital ni kubwa Mwanza kuzidi Dodoma hata Arusha!
Mwanza ni Center ya Mikoa yote ya ukanda wa ziwa na Mwanza kupata mashabiki wa Nairobi,Kampala,Kigali na Bujumbura ni rahisi zaidi kuliko huko Arusha na Dodoma!
Kwa hiyo Dodoma ina sifa gani beyond ya Mwanza!Umesoma nilichoandika mwanzoni? Unadhan serikal inaweka kiwanja kama hiko sababu arusha ni znuri kikichezo? Unadhan serikal inapeleka dodoma sababu dodoma ni nzuri kwa michezo?
Look beyond that
Naiona Mwanza ikiwa Tanga....ni swala la muda
Watu wa Tanga na Kanda ya ziwa ni tofauti!Naiona Mwanza ikiwa Tanga....ni swala la muda
Kwa Ccm Hii sijui..labda..Watu wa Tanga na Kanda ya ziwa ni tofauti!
Mwanza iko hapo kwa kujengwa na Wanachi wenyewe!
Haitakaa itokee Mwanza ikadorora
Inawezekana kabisa kwasababu Tz mwenye mamuzi kwa kila kitu ni Rais hata akimua Mwanza watu wote waame niasubuhi tu mji mweupe.Mfano angalia bara bara kuu za Mwanza ni mashimo na vumbi utadhani zimepitiwa na tetemeko la Thailand na Airport road shukuruni hela za sherehe za muungano.Kama utakuwa mzima nakuakikishia Rais Samia atamaliza muda wake barabara kuu usagara na kisesa bila kujengwa wala husisikilize kelele za yule waziri wa kujenga huwa ni kawaida yake.Watu wa Tanga na Kanda ya ziwa ni tofauti!
Mwanza iko hapo kwa kujengwa na Wanachi wenyewe!
Haitakaa itokee Mwanza ikadorora
Hivyo vilikua viwanja vya umma atutaki pesa za wananchi zikakarabati gofu la ccm kirumba.Watu walishangaa Qatar ilipopewa nafasi ya kuandaa mashindano ya kombe la Dunia.
Gharama za kuandaa mashindano hayo vikiwemo viwanja vilojengwa yasemwa kuwa ni dola bilioni 220 ingawa Qatar wenyewe wasema ni dola bilioni 8 tu.
Ili kujiandaa na mashindano hayo baada tu ya kushinda nafasi ya kuwa nchi mwenyeji Qatar ikajenga viwanja vipya na kuboresha vilokuwepo vipatavyo 8.
Kwa mfano kiwanja cha kimataifa cha mpira cha Khalifa kilijengwa mwaka 1976. Mwanzo kilikuwa ni kibovu na kisichokidhi vigezo na kilikuwa chaingiza watu 20,000. Mwaka 2005 wakakifanyia ukarabati wa hali ya juu na wakaongeza uwezo wa tu kuingia na ikawa ni watu 40,000.
View attachment 3291369
Uwanja wa Khalifa kama unavyoonekana leo.
Kwa ajili ya kombe la Dunia Khalifa sasa chaingiza watu zaidi ya 45,000.
View attachment 3291377
Uwanja wa Khalifa mwaka 1976. Picha zote na Alamy.com
Kuna mtu kazungunza huko juu kasema watalaam tunao wapo, lakini hawa wataalam wa Qatar walibuni mradi uitwao Urban renewal yaani kubadili sehemu fulani ya ardhi kwa kenga kisasa (wenyewe waita Doha Sports City urban renewal project).
Hivyo tukirudi kwenye viwanja vyetu badala ya kujenga sehemu ingine bado kwa uwezo wetu mdogo kama nchi twaweza kabisa kubuni miraji ya kuboresha viwanja vilivyopo lakini kwa serikali kuachia sekta binafsi au kuwafaanya wabia.
View attachment 3291365
Uwanja wa CCM Kirumba kama unavyooneka jana leo na kesho.
Sasa CCM Kirumba chaingiza watu 35,000 na nadhani bado ndicho kiwanja cha pili kwa ukubwa baada ya uwanja wa Taifa.
Ni kiwanja kinohitaji maboresho makubwa kiasi cha kuzuia watu wanoishi pale juu Kilimahewa nao waone mpira bure.
Waafrika tuamke tufikiri nje ya boksi.
Ndugu yangu ipo hivi, Huduma katika Miji kigezo cha Kwanza ni Idadi ya watu, pili ni uwezo wa kiuchumi, Tatu ni Uhitaji ukiangalia katika kigezo hicho unaiona Mwanza haina sifa kupata kiwanja kizuli cha Mpira?Umesoma nilichoandika mwanzoni? Unadhan serikal inaweka kiwanja kama hiko sababu arusha ni znuri kikichezo? Unadhan serikal inapeleka dodoma sababu dodoma ni nzuri kwa michezo?
Look beyond that