galukaliguda
Member
- Sep 10, 2024
- 62
- 101
Ni kwa sababu Mwanza ina wapiga kura wengi sana wa CCM, sehemu yenye wapiga kura wengi huwa haipaswi kupelekewa maendeleo makubwa sanaaaa!!!View attachment 3289939View attachment 3289940
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni central ya mikoa ya kanda ya ziwa
4.Mwanza pekee ndio jiji lenye stendi mbili za mabasi pia uwepo wa usafiri wa aina zote ndege,bus,Maji na kadhalika.
5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.
Capacity ya uwanja watu elfu 70.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na iitwe fish stadium 🏟
Bajeti ya serikali kuboresha uwanja wa chama?Tutaomba pesa kwenye Bajeti ya Serikali ya 2025/2026 ili tuboreshe CCM Kirumba Stadium! Na hili kila mwana Mwanza analiunga mkono. Uwanja upo katikati ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela. Jirani kuna Rock City Mall na View nzuri ya Ziwa Victoria. CCM Kirumba Stadium kwakweli inatosha!
Wanachadema, Wana ACT WAZALENDO, Wana CUF, Wana APPT MAENDELEO na wengineo hawaingiagi CCM Kirumba kuangalia mechi au matamasha ya michezo au muziki?Bajeti ya serikali kuboresha uwanja wa chama?
Comment ya kiwango cha chini sana hii, nisamehe ndg. Kwani zile fremu na maduka mengi ya chama yaliyopo sehemu mbalimbali wanachama wengune hawaendi kununua pale vitu? So tutatengee bajeti ya serikali kuyaboresha?Wanachadema, Wana ACT WAZALENDO, Wana CUF, Wana APPT MAENDELEO na wengineo hawaingiagi CCM Kirumba kuangalia mechi au matamasha ya michezo au muziki?
Ndio.Comment ya kiwango cha chini sana hii, nisamehe ndg. Kwani zile fremu na maduka mengi ya chama yaliyopo sehemu mbalimbali wanachama wengune hawaendi kununua pale vitu? So tutatengee bajeti ya serikali kuyaboresha?
Inauma sana sana mwanza yangu jamaniKama uligundua JIWE aliipenda sana Mwanza alianzisha Miradi mingi sana hata SGR bila kufosi isingefika Mwanza...Kwa muhula huu wa Kizimkazi Mwanza itapata tabu sanaa yaani hasa uwaambie swala la Uwanja hawawezi kuelewa zaidi watatoa 100M uwanja upigwe rangi ya bendera za TZ alafu ndio imeisha iyo
Ni faraja kupata watanzania wenye akili kubwaTutaomba pesa kwenye Bajeti ya Serikali ya 2025/2026 ili tuboreshe CCM Kirumba Stadium! Na hili kila mwana Mwanza analiunga mkono. Uwanja upo katikati ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela. Jirani kuna Rock City Mall na View nzuri ya Ziwa Victoria. CCM Kirumba Stadium kwakweli inatosha!
Ahsante. Na kama CCM Kirumba ingeliboreshwa mapema hata mechi ya Simba na Berkane ingelichezewa hapo na washabiki zaidi ya hamsini elfu wangeliingia!Ni faraja kupata watanzania wenye akili kubwa
Hayo mabilioni kujenga uwanja mwingine yanaweza kusaidia sekta nyingine
Viwanja vya arusha na dodoma vilikua vidogo sana na chakavu tofauti na kirumba mkubwa unaowezà kubeba hadi watu 35k
Ikumbukwe viwanja vya arusha na dodoma vyote havitafkisha idadi ya ccm kirumba
Kikubwa kirumba pafanyiwe marekebisho kama amaan zanzibar wafunike juu, waweke taa za usiku na viti patapendeza sana ikichagizwa na location yake itakaa poa sana
Kumbe jibu unalo mwenyewe tayari.5.Mwanza ina vibe sana mtupe uwanja msitubainie ata sisi tunataka kiwanja cha mpira hii nchi isijengwe upande mmoja tu.
Sisi atuhitaji gofu la CCM kirumba tu nahitaj kiwanja cha umma.
Ni kama ninakuona hapo, "kwenye kona ya Bwiru".Ahsante. Na kama CCM Kirumba ingeliboreshwa mapema hata mechi ya Simba na Berkane ingelichezewa hapo na washabiki zaidi ya hamsini elfu wangeliingia!
Kuwa na akili bwana mdogo. Unataka kulinganisha Mwanza na Arusha au Dom?Kwa hiyo Dodoma na Arusha waweze kuutunza na kupata timu ya kuchezea harafu Mwanza mji mkubwa ukose? Acha utoto!
Ni swala la muda tu; na kwa kweli kunakosemwa "kuchelewa", ni bora kuliko kukimbizana na kupata kisichokuwa na hadhi stahiki...badala ya Dodoma wangepeleka mashindano Mwanza.
..pia Mwanza inastahili uwanja wa ndege wenye hadhi ya kimataifa.
Kwani imeenda wapiTatizo nini hapo? Uwanja wa Arsenal wa Emirates umezungukwa na biashara kibao. Umeacha kuwa Uwanja? Kama gereji zinakukera bali unataka Villa Park irudi ili upate madada poa kwa bei poa, sawa tu itarudi. Mteja ni mfalme!
Njoo Diamond hapa unywe Konyagi ukisubiria mechi ya Simba.Ni kama ninakuona hapo, "kwenye kona ya Bwiru".
Sasa nikushauri, kaa kwenye haya haya, achana na ya siasa.
Hapo "CCM kubadilishwa"; hapo hapafai tena, kujengwa uwanja wenye hadhi ya kimataifa.
Tafuteni eneo jingine kungali mapema. Mji unapanuka haraka sana. Mwishowe mtaupeleka uwanja Magu?