Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

Financial Freedom

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
1,246
Reaction score
2,299
Habari wakuu,

Nimetembea majiji mbalimbali esp. DSM, Arusha, Mbeya, Tanga na Mwanza ila Mwanza magari aina ya Kluger ni mengi sana na Arusha kidogo halafu wachina pia wanayatumia. Siri ya kutumia magari haya ni ipi?

download.jpeg
 
Habari wakuu,
Nimetembea majiji mbalimbali esp DSM,Arusha,Mbeya,Tanga na Mwanza Ila Mwanza magari Aina ya Kluger ni mengi Sana na Arusha kidogo afu wachina pia wanayatumia.Siri ya kutumia magari haya ni ipi?
Klugger ni SUV moja inajitosheleza sana kwa mambo mengi hasa kwenye uchumi wa kati pia ina mwonekano wa kiboss fln hv.

Kanda ya ziwa huwa kuna trend ya Magari mkuu, wale jamaa wakiikubali model fln ni fujo
 
Klugger ni SUV moja inajitosheleza sana kwa mambo mengi hasa kwenye uchumi wa kati pia ina mwonekano wa kiboss fln hv.

Kanda ya ziwa huwa kuna trend ya Magari mkuu, wale jamaa wakiikubali model fln ni fujo
Hahaha yaani ni fujo kushoto,kulia,mbele,nyuma ni Kluger Japo na Mimi Nina Kluger ila imezidi
 
Bei nafuu mambo ya reliable ni fix tu
Wabongo tulowengi bado ni maskin tena maskin hasa ila tunapenda maisha mazuri apo ndo ttzo huanzia

Zunguka Dar Arusha Dodoma kwa ufupi majiji yote tafta gari za mwaka2020 ad2022 ni chache mno tena sana ila tafta gar za 1998 ad2014 izo ni ming sana
 
Back
Top Bottom