Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

Kanda ya ziwa matajiri karibia wote wanaurafiki hivyo hata vitu huwa wanaigana na kushauriana kununua
 
Zile wana zitumia kama daladala wameiga kutoka Kenya kwa siku probox pale Silali inalaza 50k sawa sawa na hiace ni biashara malidadi sana
Kuna jamaa yangu alikuwa RTO huko naye aliinunua akiwa huko humwambii kitu kuhusu probox😂
 
Kuna kabila fulani wana mambo ya kuigana, akiona mwenzia amenunua kifu fulani nae atanunua hicho hicho ndio mana ukiemda moja ya wilaya moro kuna prado nyingiii,
 
We vip? hata serikali hainunuwi magari ya hiyo miaka 2020 to 2022, hata Japan licha ya kutegeneza hizo gari uchumi wao hauwaruhusu kuendesha matoleo mapya, pake wana export new brand cars to Europe na America only to bring them back to refubricate en re-xport in third world, kwa level za Africa na Tz Kurruger sio gari ya bei ya chini ina rage 23m paka 30. wakati specio ist mazda in 12m rav4 18m
Ni umasikini tu 23M izo klugger za 2006,7,8 Tazania sijawai ona klugger ya 2018 na kuendelea
 
Bei nafuu mambo ya reliable ni fix tu
Wabongo tulowengi bado ni maskin tena maskin hasa ila tunapenda maisha mazuri apo ndo ttzo huanzia

Zunguka Dar Arusha Dodoma kwa ufupi majiji yote tafta gari za mwaka2020 ad2022 ni chache mno tena sana ila tafta gar za 1998 ad2014 izo ni ming sana
Wewe una ya mwaka gani? Au ndio bado upo kwa sister hapo unatafuta ajira

Hata wewe unae kaa kwenye nyumba iliyo jengwa tangu 2005 pia ni maskini tu.
 
Back
Top Bottom